Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatar lazma watu tukate ringi yanIla uyo ajuza kaniudhi sana.
Nawaonea huruma wahudumu wa iyo hotel, wanafamilia wa hao wahudumu,..etc.
Mungu atuokoe. Kila nikiangalia tulivoshonana kwenye DCM ya Mbagala na UDART ya Kimara.
Sent using Jamii Forums mobile app