Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatar lazma watu tukate ringi yanIla uyo ajuza kaniudhi sana.
Nawaonea huruma wahudumu wa iyo hotel, wanafamilia wa hao wahudumu,..etc.
Mungu atuokoe. Kila nikiangalia tulivoshonana kwenye DCM ya Mbagala na UDART ya Kimara.
Hii serikali imezembea hapa tukubali.kwanza bado foreigners wanaingia ,pili hawawekwi karantini ni wanapita Kama mama juma kafungulia kuku asubuhi. Sasa tutapona kwa mpango huu? Serikali wako busy kuhakikisha Chadema haifanyi mkutano
Ni lawyer, walau angekuwa na ka MD, asingezingua hivi. Ninakumbuka maneno ya Prof mmoja Muhas Enzi hizo, aliyekuwa anawashauri Madaktar kujiingiza kwenye siasa. Hii ingesaidia kuondokana na watu wasiojua medicine kuongoza wizara ya afya. Madudu kama haya yangepungua.Huyu waziri wa afya ni MD au ana level nyingine ya juu??
Hapo wangepata taarifa kuwa Chadema wanajiandaa kufanya mkutano ndani ya dakika sifuri wangekuwa eneo husika kuwazuia na mabomu juu...Mi nashangaa sana mpaka CORONA insingianchini POLISI walikuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu cku nyingine ukiongea na Wanaume usibane pua afu avoid hilo neno eti unalitaja kwa mahaba linanikumbusha dadako nadindisha.Mashoga mnahangaika namna hii kutafuta mabwana, eti?
Rudi bana, we hutaki kumuona baby corona [emoji23][emoji23]
Ameandika bwana Kitale: corona sasa imekosea niia. Imeingia kwenye nchi ambayo kila mtu ni mtaalamu wa afya.
Nikiwa nimefungiwa hapa Deutschland [emoji629]. Basi Niko very social kwa majungu ya watanzania wenzangu wenye sifa ya kuwa na maneno mengi na best ideas bila kufanya kazi.
Nimefurahi sana kusoma Ukweli huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.Punga babako na ukoo wenu wote unafirw77 Walioko hai hadi walioko kaburini.