Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mtaalamu wa afya ya binadamu na wanyamaKila mtu ni waziri wa afya na daktari bingwa.
Tz ni kuosha tu mikono na maji yanayotiririkaInashangaza huko American wamezuia kabisa kuingia watu kutoka ulaya ambayo ni epicenter ya tatizo kwa sasa. Majirani zetu Kenya na Rwanda wamepiga marufuku kwa siku30 kuingia wageni na shule zimefungwa.
Hapa kwetu hataki kushauriwa.
Upumbavu huu tuandae majeneza tu
Shida ya serikali yetu imekaa kisiasa najua mnanielewa napo sema siasa kwa Tanzania. Wao kila kitu ni ujuaji tu wa maneno na sio vitendo. Huu ugonjwa ni hatari sana kutoka na njia yake ya kusambaa. Hivyo serikali ilitakiwa iwe makini sana na wageni wanaoingia nchini kwa njia zote.Swali moja tu, je kama huyu mwanamke alipita na hakugundulika... Ni wangapi wamepita pia? Walikuwa wanaona sifa kusema tuko salama bila kuangalia tubabaki vipi salama
Ukiingia dodoma atakimbilia wapi?
Ndio maana nasema Kuna kila dalili mlungula ulitembea ili eti akaji isolate, stupid woman, unaacha kuji isolate ulipoutolea unakuja kuua watanzania wenzako si upuuzi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina haja ya kuogopa we njoo tu tupunge upepo. Mungu atatufanyia wepesi.Ninasikitika sana huyo binti kajitokeza mita 150 kufika ofisini kwangu, barabara ya kunifikisha ofisini leo ilikuwa imefungwa, nina raha gani kuja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashangaa sana mpaka CORONA inaingianchini POLISI walikuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo alistahili kupelekwa Mawenzi mara baada ya kutua toka Belgium.
Tatizo la njaa ya ubongo kwa wapinzani wa Tanzania mkuu.Tanzania ukishakuwa mpinzani basi unatakiwa upinge na kusoa kila jambo linalofanywa na mpinzani wako.
Katika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Kwa hili mkubwa...kubali tu!
Tena sio airport ya kwetu tu,hata kabla ya kupanda ndege kule si lazima apimwe,amewezaje kupenya huko kote na kuja kugundulikia kwetu?hawa wazungu sio wa kuwaamini sana,inawezekana waligundua ana maambukizi lakini wakaona wacha tu aende huko kwao akaupakaze...
Sent using Jamii Forums mobile app