Niko najiuliza, mamlaka husila zimefuatilia wale wote huyo mama alikuwa amekaa nao jirani kwenye ndege, na ndugu zake wa karibu waliompkea au kuishi naye???
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiuliza vyema sana,maswali kama haya ndio watu hupaswa kujiuliza,na kama utaendelea kujiuliza namna hii,nakuhakikishia utakuja kugundua kwamba corona ugonjwa wa kipumbavu sana.
Endelea pia kujiuliza,hao ambao amekaa jirani nao,nao pia wameshakaa jirani na akina nani na wanaendelea kukaa jirani na akina nani.na hao kina nani wanakaa jirani na kina nani na watakaa jirani na kina nani...corona ni upumbavu kama upumbavu mwingine tuliowahi kuusikia.
Kwa tunavyoambiwa jinsi corona inavyoambukizwa,na hiyo chain ya maambukizi ina maana tutatarajie tutakufa sana,sio? Now,lets see kama tutakufa kama nzige kama baadhi ya watu humu wanavyosema.
Malengo ya hao waliopachika ugonjwa wa mafua ya kawaida jina la corona yatakapotimia,utaona jinsi ugonjwa huu feki utakavyopotea kimyakimya.