Ndio maana nasema Kuna kila dalili mlungula ulitembea ili eti akaji isolate, stupid woman, unaacha kuji isolate ulipoutolea unakuja kuua watanzania wenzako si upuuzi huu
Sent using
Jamii Forums mobile app
we jamaa una akili sana,nakuhakikishia kama utaendelea kujiongeza zaidi kufikiri utakuja kugundua kwamba corona ni ugonjwa wa kipumbavu sana na wala watu hawapaswi kuwa na hofu kama hii waliyonayo.Nimefurahi sana kwamba umeona hii point,lakini wengine wameshindwa kijiuliza point hii ambayo iko wazi kabisa.
Corona is nothing but a new name given to a disease commonly known as flu ambayo kipindi hiki ndio hutokea katika nchi za baridi.Mafua haya ya kawaida kabisa ya kipindi hiki cha baridi yamepewa jina jipya la kipropaganda na kupewa promo na media dunia nzima na viongozi wakubwa wa serikali za dunia pamoja na celebrities(watu maarufu duniani) waki backup hii promo ili kutimiza malengo fulani ambayo si lazima niyataje sasa.
Tumeambiwa juzi Mikel Arteta,kocha wa Arsenal alikua na corona,halafu baada ya siku chache tunaambiwa kapona,tumeambiwa pia Kenya kulikua na mgonjwa mmoja wa corona lakini sasa anajisikia vizuri,na hapa Tanzania tumeambiwa kuna mgonjwa ana corona lakini sasa anaendelea vizuri na matibabu,sijui sasa kwa taarifa kama hizi watu wanaogopa nini...kama corona is that much fatal mbona hao watu wanapona tena baada ya muda mfupi tu?
Death rate ya "corona" ni just 3%(according to WHO data),ambayo ni kama mafua ya kawaida tu,na ni ndogo kuliko mafua mafua ya kawaida kwa baadhi ya nchi duniani.
Kati ya watu 100 wapatao corona ni 3 tu ndio huweza kufariki ambapo hiyo inalingana na mafua ya kawaida tu,lakini media na watu maarufu duniani ndio walioipa promo corona ionekane kama ni janga kubwa sana duniani kwa sasa,kila chombo cha habari duniani kwasasa kinatangaza kuhusu corona....hiyo ndio nguvu ya vyombo vya habari.
Tujiulize swali dogo sana;
Kama kati ya watu 100 wapatao corona,ni 3 tu ndio huweza kufariki na 97 wote kupona,halafu tunaambiwa corona haina kinga wala tiba,sasa hao watu 97 wote wanaponaje?...wana JF zitendeeni haki akili zenu,msiwe watu wa kufuata mihemko,tumieni akili zenu sawasawa.
Atakayeweza kupata jawabu hao watu 97 kati ya 100 wenye corona wanaponaje wakati tumeambiwa corona inatisha sana na haina kinga wala tiba,atakuwa amepata pia jawabu corona ni ugonjwa wa aina gani.
Tumieni akili,acheni mihemko.