Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Niko najiuliza, mamlaka husila zimefuatilia wale wote huyo mama alikuwa amekaa nao jirani kwenye ndege, na ndugu zake wa karibu waliompkea au kuishi naye???

Sent using Jamii Forums mobile app

Umejiuliza vyema sana,maswali kama haya ndio watu hupaswa kujiuliza,na kama utaendelea kujiuliza namna hii,nakuhakikishia utakuja kugundua kwamba corona ugonjwa wa kipumbavu sana.

Endelea pia kujiuliza,hao ambao amekaa jirani nao,nao pia wameshakaa jirani na akina nani na wanaendelea kukaa jirani na akina nani.na hao kina nani wanakaa jirani na kina nani na watakaa jirani na kina nani...corona ni upumbavu kama upumbavu mwingine tuliowahi kuusikia.

Kwa tunavyoambiwa jinsi corona inavyoambukizwa,na hiyo chain ya maambukizi ina maana tutatarajie tutakufa sana,sio? Now,lets see kama tutakufa kama nzige kama baadhi ya watu humu wanavyosema.

Malengo ya hao waliopachika ugonjwa wa mafua ya kawaida jina la corona yatakapotimia,utaona jinsi ugonjwa huu feki utakavyopotea kimyakimya.
 

MLIPUKO WA MARADHI YA HOMA YA MAPAFU CORONA VIRUS DUNIANI KOTE..
 
Ilikuwa SEGEREA inapambana na MDEE, BULAYA, jacob NA MATIKO
 
tanzania hakuna maafisa usalama wa nchi, nathani kuna actors,jiulize korea kaskazini na urusi kirusi kinaweza kuingia ?
 
Nimejifungia ndani jamani leo town siend 😢😢😢
 
Ngoja tucheze ngoma, ni hatari sana kwamba vipimo alivyokua akijimwambafy waziri wa afya havina uwezo wa kugundua maradhi hayo ya COVID-19 mpaka DSM, hii ni hatari kubwa sana
 
Hakimu Mfawidhi,
Ndugu yangu mimi acha nikae kimya make hili watu wali lijua kabisa bado waka endelea ku pokea wageni tuna ji fariji kwa ku sema ugonjwa hauja anzia kwetu iseeee
 
Kenge huwa anatabia ya kutosikia hadi achunwe ngozi au damu itoke masikioni
Nasikitika kwenye magari, daladala,sokoni watu walivyojaa, mashuleni wanafunz wanavyoshare vitu. Tz ukienea utaenea kwelikweli.
 
Je, usalama wa abiria wengine haukuzingatiwa? Tusiishi kwa hisia za lawama muda wote
 
Kajitolee basi uugue au uambukizwe halafu ufanye experiment ili ujue utapona baada ya siku ngapi mana unasema ni mafua tu.. fanya hivyo haraka bila kuchelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajitolee wapi wkt wewe mwenyewe hapo ukipima sasa hiv utakuwa na maambukiz. Angalia unaeneaje na eewe siku mbili tatu zilizopita ulikuwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…