ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mbona mkuu wa mkoa aliitaja kuwa ni Temi sijui nini Villa huko. wameitaja bwana.Serikali inaficha jina la hotel wakati alipofika Kuna watu walimhudumia kwa kushikana naye mikono kumbebea mizigo
Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?
ila akina mama ni wabishi kinoma, yaani waliambiwa msiende kuzurura zurura lakini wapi ona sasa 'danga' la ubeligiji na Denmark litakavyo tupukutisha
Watu wengi hawana taarifa za kutosha kuhusu magonjwa ya virusi ikiwemo coronaSomeone might need thisView attachment 1390713View attachment 1390714View attachment 1390715View attachment 1390716View attachment 1390717View attachment 1390718View attachment 1390719View attachment 1390721View attachment 1390722View attachment 1390723View attachment 1390724
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee ....Wa....Utopolo....Njooni hapa mseme tena corona aiwapati wazee wa Cheusi dawa.
China kulivyokua na wagonjwa 100 tu walifunga mipaka
Wapi huyo mama alikiri kwamba katoka kwenye nyumba iliyokua na mgonjwa?1- Mgonjwa katoka ubelgiji kwenye inchi yenye wagonjwa wa COVID-19
2- Mgonjwa amekili kujua kuwa baba mwenye nyumba huko ubelgiji alikuwa mgonjwa wa COVID-19
3- Screening test pale KIA ilikuwa negative
4- Mgonjwa moja kwa moja akaenda Hotel na akajiwekea Isolation
5- Mgonjwa akaripoti hospitali kwa ajili ya sample /confirmatory? Na kweli ikawa positive....
"I'm missing my ass"
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππ sijui niniMbona mkuu wa mkoa aliitaja kuwa ni Temi sijui nini Villa huko. wameitaja bwana.
na jina la mgonjwa ndie Da Isabela Mwampamba mmiliki wa shule sijuni nini hukooo friends, ni mkazi wa Sakina karibu na msikiti sijui na karibu na wapi tena hukooo. Nimechoka mie. Hivi hizo mask ni bei kwani?
Haina haja ya kuogopa we njoo tu tupunge upepo. Mungu atatufanyia wepesi.
Hayo ni majaaliwahalafu baada ya kuachwa na corona unaendeleza ufska kama kahawa
Yeye mwenyewe anasema, wakati wa shida zetu tutamuita na atatusaidia.