ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kia tulidanganywa wanapima corona, si kweli nahisi wanapima joto tu. Yule dada alipita Kia vipimo havikuonesha, kwa roho yake nzuri alijisalimisha hospitali mwenyewe, na tayari keshakutana na watu wengi, na hatuna vipimo, vipo dar tu. Wageni bado Wanaingia na Kia bado hatuna vipimo.
Tulinde wazee wetu jamani, corona itasambaaa Sana Mana hatuna vipimo,uganda wapo vizuri, ndege ikiingia karantini siku 14 hutaki rudi kwenu.
Tulinde wazee wetu jamani, corona itasambaaa Sana Mana hatuna vipimo,uganda wapo vizuri, ndege ikiingia karantini siku 14 hutaki rudi kwenu.