Mandinga
Member
- Mar 6, 2020
- 35
- 45
Stupid kabisa. Wanashindwa kuweks hata kwenye hosp za rufaaYani nchi yenye watu Milioni 50+ na sampuli zinapimwa sehemu moja tu!
They can't be serious!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stupid kabisa. Wanashindwa kuweks hata kwenye hosp za rufaaYani nchi yenye watu Milioni 50+ na sampuli zinapimwa sehemu moja tu!
They can't be serious!
Ni kweli mkuu kumbuka tupo dunia ya tatu hukuKumbe watu mko waoga eeh [emoji1787]
Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.
Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.
Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
Noma sana
Na mtu wa pili kutuletea atakuwa Manara yule mpiga domo wa mabingwa wa nchi.Kenge huwa anatabia ya kutosikia hadi achunwe ngozi
Duh kumbe mbongo kabisa hahahaha ila bado akifa huyo ndiyo taona kwamba toyota ipo serious aichek na mtu.Mtanzania mweusi Kama mimi
CCM sasa waache kuzurura na kufanya mikutana hovyovyo bila vibaliKamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.
Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.
View attachment 1389929
View attachment 1389983
Itaanza kuwapukutisha nyinyi wanafiki wakubwaKamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
wait, hii inaonesha vile vifaa si fanisi eealipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha
Cc Pascal Mayallatechnically njoo huku
Tuone sasa watafanya nini.
Tanzania sio nchi ya kijamaa. Tutapona huu ugonjwa kama tutakuwa wazi, open government yaani. Tukificha ficha data, ati kulinda utalii,tutakoma.Corona ilishaingia Tanzania ilikuwa swala la muda tu kutangaza sisi sio Kisiwa.
Hizi nchi za kijamaa zina Siri sana, Mungu atunusuru isisambae zaidi.