Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.
Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.
View attachment 1389929
View attachment 1389983
unamaanisha mbowe na chadema yake serikali na ccm wanamuogopa maana nusu saa mbowe kawaambia wanachama wake watafanya mikutano kwa lazima nusu saa tena baadae ummy anatoa tahadhari coona imeshaingia tanzaniaTamko la Mboye limewatoa pangoni mikutano ya kisiasa kushinei
Watu wanashangaza sana, walikuwa wanasema humu, mara mtu mweusi kuogopa mafua ni uzembe.Kumbe watu mko waoga eeh 🤣
Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.
Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.
Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
Mfanya usafi ambae anakaa kimara akitoka hotelini amepanda daladala pata picha hapo kitakachoendelea mkuu
Azam tv wanaonyesha muda huuChannel gani?
Channel 10Channel gani?
Baada ya mbowe kutangaza atafanya mikutano ndio mnatangaza Kuna mgonjwa wa korona?Waziri wa afya Ummy mwalimu kupitia waandishi wa habari muda huu amethibitisha kutokea kwa kisa kimoja cha mgonjwa wa corona,mgonjwa huyo ni raia wa Tanzania amegundulika kuwa na corona baada ya kuwasili akitokea ubelgiji kwa ndege ya Rwandan air,:source Azam media
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndilo niliwazalo pia....Wafunge shule mapema wasisubiri ratiba ya shule.Nawaza watoto huko mashuleni jamani Mungu atusaidie
Ndugu Dar ndo Tanzania, yaan uache kuokoa wa TZ almost 10mil uelekeze nguvu huko kasulu ndani ndani kwenye watu elfu 30Kwahiyo wizara ya afya imeandaa Dar tu ndo kuwe na vipimo vya corona[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine walikuwa wanapiga marufuku watu kuingia nchi zao.
Sisi tunaleta ujuaji.
Imekula kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanya usafi ambae anakaa kimara akitoka hotelini amepanda daladala pata picha hapo kitakachoendelea mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
we kweli kilaza hivi kuna mtu anaweza furahia majanga kama hayo atafurahi kwa usoni lakini moyo wake nafsi yaka vitamsutaKuna watu wamefurahi sasa