Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

kwa hiyo waliofungiwa ndani ya hoteli hata kama hawana maambukizi watayapata humohumo!
 
Walikosea mapema, wangesema chadema wanasambaza Corona Arusha mapema kabisa wote waliokutana na huyo mgojwa wangepatikana
 
Mortality rate < 6%
Wakiugua 100 wanaokufa ni 3 to 5 tena kwa uzembe wa kutowahi kutibu Neumonia, Haya mafua jamani yamekuzwa mno. Tulikuwa nao muda mrefu huku ila sisi hatukuwa na popular media za kuutangazia ulimwengu
Ni kweli ila kutokana na namna yanavyosambaa kwa haraka, serikali isipokua makini haitaweza kumudu idadi kubwa ya wagonjwa.

Siuliona China ilibidi wajenge hospitali mpya?
 
Kitengo cha serikali kuto weka karantini kwa watu wote waingiao nchini kama ilivyo amua Kenya, kitaleta kuenea sana kwa ugonjwa huu nchini.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mara paap....wanasayansi watoa tamko kuwa, dawa ya Corona ni mkojo wa mdada bikra mwenye miaka 22, Mamaweeeeh.. Watanzania tutakufa kama nzige.
 
areafiftyone, Hapo mwishoni nakubaliana na wewe huu si wa kugusana wala nini but something fishy inaendelea kwa hawa wajanja wa dunia. I think tunapelekwa kwa new phase ya mipango yao or wako wanafanya majaribio on what they r going to do next.

Mfano by now kwa jinsi walivyoweza kuigopesha dunia kupitia media zao kuhusu huu ugonjwa ni rahisi kuwaweka watu ndani via lockdown.

Pia ni rahisi kuwachoma watu vaccine ambazo ndio zitaleta madhara zaidi na watu watakubali maana washapaniki.

What about sanitizer hizi are they safe now? Or washaweka vitu humo? Maana nimeona sehemu denmark wamepitisha bungeni lazima kuchoma vaccine hata ikibidi kutumia police.

Note: wakiamua hawa jamaa usidhani serikali itashindana nao utashangaa na roho yako siku serikali ikakuletea chanjo ya haohao mabeberu na kuwa ni lazima kuchoma.......na ndio zitakuwa na athari kuliko hii corona.

Kama ambavyo arvz zina mashida the same na ugonjwa.

Am out!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Umuhimu wa Waziri wa wizara awe mtu wa professional wa wizara husika.
Haiwezekani mwanasheria unampa afya.
Au mwndishi wa habari unampa Fedha Au Miondombinu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa..halaf mkuu hivi vyeo hujui unapewa kisiasa tu ,, unadhani wana consider elimu ya mtu kwamba ana fit happo alipo..sasa angalia..eti mwanasheria na afya
Kuna Umuhimu wa Waziri wa wizara awe mtu wa professional wa wizara husika.
Haiwezekani mwanasheria unampa afya.
Au mwndishi wa habari unampa Fedha Au Miondombinu.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom