Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wale wenye sumu wakafuata maziwa?sipati picha mtu aliemfuata mchepuko wake, na yeye pia kawekwa karantini halafu nyumbani kwake ni karibu tu hapo
Kama imani hazina logic kipi kinifanye niiaminj? Duh imani bila logic doesn't make sense
Nimesema ukweli tupu,kama upo uongo niambie.If it has happened in China,it can happen in Tanzania too,because the reason for doing that is there.Duh! Here we go again!
Ni kweli ila kutokana na namna yanavyosambaa kwa haraka, serikali isipokua makini haitaweza kumudu idadi kubwa ya wagonjwa.Mortality rate < 6%
Wakiugua 100 wanaokufa ni 3 to 5 tena kwa uzembe wa kutowahi kutibu Neumonia, Haya mafua jamani yamekuzwa mno. Tulikuwa nao muda mrefu huku ila sisi hatukuwa na popular media za kuutangazia ulimwengu
Ukileta logic kwenye imani ndo utaanza kujiuliza huyo Mungu yeye aliumbwa na nan?yuko wap?n.kKama imani hazina logic kipi kinifanye niiaminj? Duh imani bila logic doesn't make sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi usishangae ndio alivyo, ndiye ugawa uhai na uzima na ndiye huviondoa pia.
Lazima tujueUkileta logic kwenye imani ndo utaanza kujiuliza huyo Mungu yeye aliumbwa na nan?yuko wap?n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya na tukufe kama alivyoamuaBasi usishangae ndio alivyo, ndiye ugawa uhai na uzima na ndiye huviondoa pia.
Kuna Umuhimu wa Waziri wa wizara awe mtu wa professional wa wizara husika.
Haiwezekani mwanasheria unampa afya.
Au mwndishi wa habari unampa Fedha Au Miondombinu.
Sent using Jamii Forums mobile app