Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

upo Wright kabisa
 
jaman kuna mambo sio kuchukulia usiliasi kiivyo some it's just entertaining elimu ishatolewa kila mtu anajua n lipi la kufanya ko me sioni kosa kwa steaven
Na kuhusu swala la hao wengine me nanaunga mkono kwa elimu wanayotoa coz hata madactari wanaowatibu hao waathirikia wanajikinga na ndo inavyotakiwa hata kwa sie wannchi wa kawaida coz tunaonana na wengi hatujui yupi ni muathirika
 
Nawaona wasanii wa CMG katika ubora wao,wengi wa wasanii ambao wako chini ya mawingu ni hamnazo kwa hiyo msiwashangae sana.Ndio maana show za fiesta CMG wakikusanya 500 millions wao wasanii wanaishia kulipwa laki mbili kwa sababu mengi ni matabulalasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…