Binafsi tukiacha ushabiki... Naona kuvaa mask kunasaidia kuzuia maambukizi pia, unapovaa mask sio rahisi kushika mdomo, au pua hata ikitokea umegusana na mwenye ugonjwa kwa mikono... Labda uguse macho ambapo pia nimeona kuna waliovaa miwani.
Kwahiyo pamoja na kwamba hiyo mask haizuii maambukizi kwa njia ya hewa... bado inakuwa na uwezo wakuzuia kwa njia ya kugusana.
Hivi mtu akipiga chafya ukarukiwa na vile vi droplets (chembechembe) za chafya itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sio mwanzo wa coronazation
Sent using
Jamii Forums mobile app