Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

Wewe nimeshakwambia ni MPUMBAVU asubuhi mchana na usiku unawaza Corona tu. Dunia nzima inaangaika na Corona ingia kwenye website za nje uangalie kinachoendelea. Masaa 24 unalalamika tu kama mwanamke mwenye mimba unataka serikali ikufanyeje!?

Kama umeshajua Kuna Corona fuata taratibu jikinge sio unakaa unalialia tu kama ma.laya aliyetapeliwa. Unaboa sana kulalamika hovyo tu masaa yote. Kama unafikiri kulalamika Jamii Forums 24/7 kutakusaidia lolote endelea tu. Ila unapoteza muda wako tu.
Haka kajamaa toka corona inaanza kila uzi ni hilo tu!

Hebu fikiria tangu april mwaka jana kanaongela corona tu.

Sasa anataka sijui wakipaza sauti corona ndio inaondoka?

Tatizo watu kama hawa tukiwaita wapumbavu mods wanakimbilia kitufe cha ban
 
Covid haikupiga kura wala haitishiki na raisi sijui serikali. Hivi ni vita vya raia mmoja mmoja. Jilinde, chukua hatua. Usisuburi serikali ambayo inaishi mazingira tofauti kabisa na wewe raia wa kawaida. By the way, inawezekana viongozi wanachukua tahadhari zote kujikinga.

Mkuu nachukua tahadhari zote ndani ya uwezo wangu. Serikali ninayoilipa kodi inawajibika kwangu katika yaliyo nje ya uwezo wangu yakiwamo ya kupatikana kwa chanjo ambazo tayari zipo.

Pia hili serikali inawajibika nalo moja kwa moja au siyo?:

IMG_20210214_214251_251.jpg

Kodi nilipe, serikali initelekeze. Wapi na wapi?
 
Unadhani huyu ni wa ufipa?

IMG_20210213_164514_304.jpg

Huyu naye je?

Hivi mbona akili zenu hazina akili kiasi hiki?
 
Sasa Serikali ndio imeshikilia huo msimamo wake katika hali hiyo tunafanya nini???, tusubiri tu serikali tusitafute njia ya kufanya individually or collectively !? ?----angalia watu leo hawavai barakoa, hawatumii senitizer nk, sasa utailaumu serikali kwa ujinga wa watu tusiojitambua kwamba kuna Corona na tunapaswa kujilinda???

Sisi Watz ni mazwazwa kwani kila siku jamaa na ndugu zetu wanakufa kwa corona (imebadilishwa jina pneumonia) kinachofuatia ni sisi pia.

Badala ya kujadili mbinu za kukabiliana nayo tunajadili kuhusu Serikali isiyosikia !!!, huko ni kupoteza muda.

Kumjadili mbaya wetu na hata kujipanga kumkabili si kupoteza muda.

IMG_20210214_214251_251.jpg

Tutakufa tukipambana kuliko kufa leo tukipambana ili kumlipa kodi mbaya wetu.
 
Katika mikusanyiko kama hiyo vaa angalau barakoa ili kujilinda, ukivaa barakoa nani atakukamata???!

Ninafanya hivyo mkuu. Siko peke yangu katika familia yangu. Ninao wapendwa wengi ninao walilia hali kila uchao kufanya hivyo ili tulindane ndani ya uzwazwa uliopo.

Sina uwezo wa kupata chanjo hata kama ninaihitaji. Anayenizibia yote hayo ndiyo huyo anayenidai kodi na kuniongezea kodi zaidi.

Unashauri nimnyamazie tu?
 
Wewe nimeshakwambia ni MPUMBAVU asubuhi mchana na usiku unawaza Corona tu. Dunia nzima inaangaika na Corona ingia kwenye website za nje uangalie kinachoendelea. Masaa 24 unalalamika tu kama mwanamke mwenye mimba unataka serikali ikufanyeje!?

Kama umeshajua Kuna Corona fuata taratibu jikinge sio unakaa unalialia tu kama ma.laya aliyetapeliwa. Unaboa sana kulalamika hovyo tu masaa yote. Kama unafikiri kulalamika Jamii Forums 24/7 kutakusaidia lolote endelea tu. Ila unapoteza muda wako tu.
Watu mna akili mbaya.

Hamtaki watu walalamike ?!. Mungu saidia huyu mtu aone madhara ya Covid nyumbani kwake Jmc06
 
Watu mna akili mbaya.

Hamtaki watu walalamike ?!. Mungu saidia huyu mtu aone madhara ya Covid nyumbani kwake Jmc06

Hao ni wanufaika wa hii janja janja. Nia ni kumnasua serikali kutowajibika.

Kututelekezea gonjwa wenye kufa tufe.

Bottom line tutakabiliana vilivyo tungali hai.
 
Wanao subiri sisi madingi kufa fasta kwa covid 19 watasubiri sana. Madingi hatuna mkataba na Mungu ila mpaka sasa inaonekana vijana wadogo wanaondoka sana.

Kwanza sisi hatuko " mobile sana" mida mwingi uko palepale kama ulistaafu kibanda kipo na pengine hata usafiri.

Unakuwa muda mwingi uko na remote unabadilisha channel tu.

Pensheni si haba inaingia na sio lazima uende benki unaivuta kwa simu toka kwenye account.

Nionavyo mimi madingi wakizungu tofauti na sisi waafrika. Msichanganye.
Labda kama mna roho ya shetwani mnataka wazee wenu tuondoke mrithi mali.

Poleni sana vijana na bado itakuja Covid 20, 21,22, n.k.
 
Haka kajamaa toka corona inaanza kila uzi ni hilo tu!

Hebu fikiria tangu april mwaka jana kanaongela corona tu.

Sasa anataka sijui wakipaza sauti corona ndio inaondoka?

Tatizo watu kama hawa tukiwaita wapumbavu mods wanakimbilia kitufe cha ban

Kajamaa mbona ni wewe mburula usiyekuwa na uchungu na maisha ya wengine hata tu usiowajua kwa sababu ya njaa za tumbo lako?

Una uhalali gani wewe wa kuwasemea wahanga gani wa ugonjwa huu?

Eti ban. Sisi huwa wapuuzi kama nyie tunawabani wenyewe tu waulize kina mjingamimi na wapuuzi wenzao.

Wewe bado kidooogo. Beberu anasema "but a short time to live."
 
Kwa hiyo wwe unataka Nchi yote ipigwe lockdown!? Mi naona hivi, tuendelee hivi hivi,ukitaka vaa Barokowa wwe vaa, na Kama uchumi unakuruhusu pia waweza jipiga lockdown wwe na watu wako unaoweza kuwapa amri Kama Watoto wako!! Mwisho wa siku Maisha lazima yaendelee kwa hali yoyote ile tunaopitia kama Wanadaamu!!

Hivi huwa mnakaa mnaota ndoto kama misukule tu?

Hivi kama huna lolote unalojua kuhusu mada ustaarabu si kuuchuna tu na hakuna atakayejua u mburula kiasi gani?

Hiyo lockdown umeyaona wapi kwenye mada? Au wewe ni nabii Tito?

Ama kweli ujinga mzigo kama wa kuni nao hubebwa kichwani.
 
Kajamaa mbona ni wewe mburula usiyekuwa na uchungu na maisha ya wengine hata tu usiowajua kwa sababu ya njaa za tumbo lako?

Una uhalali gani wewe wa kuwasemea wahanga gani wa ugonjwa huu?

Eti ban. Sisi huwa wapuuzi kama nyie tunawabani wenyewe tu waulize kina mjingamimi na wapuuzi wenzao.

Wewe bado kidooogo. Beberu anasema "but a short time to live."
Acha ujinga wewe! Kwa hiyo ukiniban mimi ndio utanipunguzia kitu gani wewe jinga tu?

Sasa kama una miaka zaidi ya 60 unataka Magufuli akuchukue akulee ili corona isikupate?

Wewe tangu corona inaingia hapa nchini mwezi april vi uzi vyako ni ujinga ujinga tu., yani hueleweki unataka nini
 
Mi nakushauri wwe beba wapendwa wako mkaishi huko unakoona Serekali zao zinachukua hatua sahihii kwenye ugonjwa wa Corona,msije mkafa bure alafu mkailaumu Serekali ya Magufuli bure!!

Ushauri wako nimeukataa.

Unasema je hapo?

Nitahangaika na ninaye mlipa kodi.

Wewe ndiyo unayechukua kodi yangu?

Au ni kiherehere kama cha kuku tu?
 
Unadhani huyu ni wa ufipa?

View attachment 1702816
Huyu naye je?

Hivi mbona akili zenu hazina akili kiasi hiki?
Hivi unadhani hautafariki, au?
 
Hayo mapambano ya wengi bado hayajapata BARAKA kutoka juu!;, je tukae tu?? au tuendelee kuomba hizo baraka hadi lini??--- hiyo ni sawa na kumpigia gitaa beberu.

Shida Watz ni mazwazwa, hatuna hamasa, hatujitambui na tumejaa ujinga na woga, wewe unadhani kama kila mtu mmoja mmoja tukiamua kuvaa barakoa nk, nani atatuzuia??!---- tatizo ni Watz na sio Serikali.
Kifupi wa tz nikama kondoo, km umeona hatari hyo na unajua wazee na wagonjwa ndo wahanga, na upo ktk kundi hilo , siuchukue hatua? Hzo kelele za tupaze sauti kwani unazani wte niwanga?
 
Kwani kasema yeye binafsi hajilindi!? Tunataka kuona serikal inawajibika kwa upande wake lkn sio kupiga propaganda majukwaani. Serikal za nchi zingine zinaagiza chanjo kwa sasa, swala la kujua chanjo ni salama au la ni la serikal yenyewe.

Kama inashindwa kutambua chanjo ni salama basi haina uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. Au tuamini yale wasemayo baadhi kuwa serikali haitaki kutoa pesa?
Siasa.
 
Juzi kati hapa kuna nchi zimesitisha hzo chanjo , hata kabla wa tz hatujazitumia we huoni kuwa serikali ytu nimakini?
Siri ya mafanikio ni KUFUATA MAELEKEZO ! Fata maelekezo ya serikali iliyoyatoa km nichanjo hata mm siungi mkono hoja kuletwa chanjo .
1.fanya mazoezi
2.piga nyungu
3. Pilipili kichaa , tangawizi,k.swaumu , kimau nk. Pendelea kuvitumia sn.
4.gonga K.vant hata kifuniko kimoja kila siku unapotaka kulala maana ni alcohol 100% nasiyo zambi kwa watu wadini maana imeruhusiwa kutumia kwa magonjwa yakupatayo , soma kitabu cha 1petro.
Kama wewe ni miongoni mwa makundi uliyoyataja yaani wewe ni mzee au ni mgonjwa hapo sasa tafta mbinu zko mbadara maana kweli km ww ni mzee hafu ulishanasa!!! Na uko week, Duh...! mazoezi kweli nakula v2 vikalivikali + k.vant hapo tutakuwahisha brother .pole. ila chancho NO. No!!
 
Back
Top Bottom