joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nimekubaliana na wewe,ila kuna wapuuzi wanaigeuza Corona kupata umaarufu wa kisiasa.Juzi kati hapa kuna nchi zimesitisha hzo chanjo , hata kabla wa tz hatujazitumia we huoni kuwa serikali ytu nimakini?
Siri ya mafanikio ni KUFUATA MAELEKEZO ! Fata maelekezo ya serikali iliyoyatoa km nichanjo hata mm siungi mkono hoja kuletwa chanjo .
1.fanya mazoezi
2.piga nyungu
3. Pilipili kichaa , tangawizi,k.swaumu , kimau nk. Pendelea kuvitumia sn.
4.gonga K.vant hata kifuniko kimoja kila siku unapotaka kulala maana ni alcohol 100% nasiyo zambi kwa watu wadini maana imeruhusiwa kutumia kwa magonjwa yakupatayo , soma kitabu cha 1petro.
Kama wewe ni miongoni mwa makundi uliyoyataja yaani wewe ni mzee au ni mgonjwa hapo sasa tafta mbinu zko mbadara maana kweli km ww ni mzee hafu ulishanasa!!! Na uko week, Duh...! mazoezi kweli nakula v2 vikalivikali + k.vant hapo tutakuwahisha brother .pole. ila chancho NO. No!!
Corona imeanza kuwa kali zaidi baada ya hizi chanjo kutumika,mpaka sasa tuna type 3 mpya za Corona (kutoka Brazil,SA na UK) na mpaka sasa haijulikani chanjo ipi inatibu tatizo lipi na hizi type mpya zina nguvu na kusambaa kwa haraka kuliko kile kirusi cha kwanza kutoka Wuhan.
Kilichobakia sasa hivi makamouni ya amadawa yanacheza kamari na afya watu,UK wana chanjo lkn ukitizama Worldometer vifo vimeongezeka,US sasa hivi vivyo vinagonga mpaka 4k pamoja na chanjo zao mpya hizi walizo anza kuzitumia.
Cha msingi kwenye swala la chanjo twende polepole,jilizishe kwa kuzipima hizi chanjo.