Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

Haka kajamaa toka corona inaanza kila uzi ni hilo tu!

Hebu fikiria tangu april mwaka jana kanaongela corona tu.

Sasa anataka sijui wakipaza sauti corona ndio inaondoka?

Tatizo watu kama hawa tukiwaita wapumbavu mods wanakimbilia kitufe cha ban
 

Mkuu nachukua tahadhari zote ndani ya uwezo wangu. Serikali ninayoilipa kodi inawajibika kwangu katika yaliyo nje ya uwezo wangu yakiwamo ya kupatikana kwa chanjo ambazo tayari zipo.

Pia hili serikali inawajibika nalo moja kwa moja au siyo?:



Kodi nilipe, serikali initelekeze. Wapi na wapi?
 

Unadhani huyu ni wa ufipa?


Huyu naye je?


Hivi mbona akili zenu hazina akili kiasi hiki?
 

Kumjadili mbaya wetu na hata kujipanga kumkabili si kupoteza muda.



Tutakufa tukipambana kuliko kufa leo tukipambana ili kumlipa kodi mbaya wetu.
 
Katika mikusanyiko kama hiyo vaa angalau barakoa ili kujilinda, ukivaa barakoa nani atakukamata???!

Ninafanya hivyo mkuu. Siko peke yangu katika familia yangu. Ninao wapendwa wengi ninao walilia hali kila uchao kufanya hivyo ili tulindane ndani ya uzwazwa uliopo.

Sina uwezo wa kupata chanjo hata kama ninaihitaji. Anayenizibia yote hayo ndiyo huyo anayenidai kodi na kuniongezea kodi zaidi.

Unashauri nimnyamazie tu?
 
Watu mna akili mbaya.

Hamtaki watu walalamike ?!. Mungu saidia huyu mtu aone madhara ya Covid nyumbani kwake Jmc06
 
Watu mna akili mbaya.

Hamtaki watu walalamike ?!. Mungu saidia huyu mtu aone madhara ya Covid nyumbani kwake Jmc06

Hao ni wanufaika wa hii janja janja. Nia ni kumnasua serikali kutowajibika.

Kututelekezea gonjwa wenye kufa tufe.

Bottom line tutakabiliana vilivyo tungali hai.
 
Wanao subiri sisi madingi kufa fasta kwa covid 19 watasubiri sana. Madingi hatuna mkataba na Mungu ila mpaka sasa inaonekana vijana wadogo wanaondoka sana.

Kwanza sisi hatuko " mobile sana" mida mwingi uko palepale kama ulistaafu kibanda kipo na pengine hata usafiri.

Unakuwa muda mwingi uko na remote unabadilisha channel tu.

Pensheni si haba inaingia na sio lazima uende benki unaivuta kwa simu toka kwenye account.

Nionavyo mimi madingi wakizungu tofauti na sisi waafrika. Msichanganye.
Labda kama mna roho ya shetwani mnataka wazee wenu tuondoke mrithi mali.

Poleni sana vijana na bado itakuja Covid 20, 21,22, n.k.
 
Haka kajamaa toka corona inaanza kila uzi ni hilo tu!

Hebu fikiria tangu april mwaka jana kanaongela corona tu.

Sasa anataka sijui wakipaza sauti corona ndio inaondoka?

Tatizo watu kama hawa tukiwaita wapumbavu mods wanakimbilia kitufe cha ban

Kajamaa mbona ni wewe mburula usiyekuwa na uchungu na maisha ya wengine hata tu usiowajua kwa sababu ya njaa za tumbo lako?

Una uhalali gani wewe wa kuwasemea wahanga gani wa ugonjwa huu?

Eti ban. Sisi huwa wapuuzi kama nyie tunawabani wenyewe tu waulize kina mjingamimi na wapuuzi wenzao.

Wewe bado kidooogo. Beberu anasema "but a short time to live."
 

Hivi huwa mnakaa mnaota ndoto kama misukule tu?

Hivi kama huna lolote unalojua kuhusu mada ustaarabu si kuuchuna tu na hakuna atakayejua u mburula kiasi gani?

Hiyo lockdown umeyaona wapi kwenye mada? Au wewe ni nabii Tito?

Ama kweli ujinga mzigo kama wa kuni nao hubebwa kichwani.
 
Acha ujinga wewe! Kwa hiyo ukiniban mimi ndio utanipunguzia kitu gani wewe jinga tu?

Sasa kama una miaka zaidi ya 60 unataka Magufuli akuchukue akulee ili corona isikupate?

Wewe tangu corona inaingia hapa nchini mwezi april vi uzi vyako ni ujinga ujinga tu., yani hueleweki unataka nini
 
Mi nakushauri wwe beba wapendwa wako mkaishi huko unakoona Serekali zao zinachukua hatua sahihii kwenye ugonjwa wa Corona,msije mkafa bure alafu mkailaumu Serekali ya Magufuli bure!!

Ushauri wako nimeukataa.

Unasema je hapo?

Nitahangaika na ninaye mlipa kodi.

Wewe ndiyo unayechukua kodi yangu?

Au ni kiherehere kama cha kuku tu?
 
Hivi unadhani hautafariki, au?
 
Kifupi wa tz nikama kondoo, km umeona hatari hyo na unajua wazee na wagonjwa ndo wahanga, na upo ktk kundi hilo , siuchukue hatua? Hzo kelele za tupaze sauti kwani unazani wte niwanga?
 
Siasa.
 

Juzi kati hapa kuna nchi zimesitisha hzo chanjo , hata kabla wa tz hatujazitumia we huoni kuwa serikali ytu nimakini?
Siri ya mafanikio ni KUFUATA MAELEKEZO ! Fata maelekezo ya serikali iliyoyatoa km nichanjo hata mm siungi mkono hoja kuletwa chanjo .
1.fanya mazoezi
2.piga nyungu
3. Pilipili kichaa , tangawizi,k.swaumu , kimau nk. Pendelea kuvitumia sn.
4.gonga K.vant hata kifuniko kimoja kila siku unapotaka kulala maana ni alcohol 100% nasiyo zambi kwa watu wadini maana imeruhusiwa kutumia kwa magonjwa yakupatayo , soma kitabu cha 1petro.
Kama wewe ni miongoni mwa makundi uliyoyataja yaani wewe ni mzee au ni mgonjwa hapo sasa tafta mbinu zko mbadara maana kweli km ww ni mzee hafu ulishanasa!!! Na uko week, Duh...! mazoezi kweli nakula v2 vikalivikali + k.vant hapo tutakuwahisha brother .pole. ila chancho NO. No!!
 
Pole sana Mkuu.
Mungu atusaidie Kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…