Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

Aisee !!!
Kweli mabeberu walikaa na wakafikiri mpaka wakaja na neno THIRD WORLD

Ila usisahau Tanzania is a unique case.

Msimamo wa Tanzania si wa third world countries.

Ukisema hivyo utakuwa hujawatendea haki wote wengine.

Uuonao huu ni msimamo wa jiwe na genge lake. Ambao kwa o Tanzania ni makao makuu ya Mungu!
 
Dah ushauri mwingine mmh, hata mgonjwa unaweza kummalizia aisee.
 
Wewe unatakaje!
Umeambiwa tulia na familia yako mkuu.
 
Ila usisahau Tanzania is a unique case.

Msimamo wa Tanzania si wa third world countries.

Ukisema hivyo utakuwa hujawatendea haki wote wengine.

Uuonao huu ni msimamo wa jiwe na genge lake. Ambao kwa o Tanzania ni makao makuu ya Mungu!
Nimekuelewa sana Mkuu

Nimesema hivyo ni kutokana na reasoning capacity ya akili za wachangiaji
Na sasa huu ujinga wa unachochewa na huyo Kenge mkuu wa nchi,

Nadhani amejistukia lakini hataki kula matapishi yake katika huu ujinga wake anaoita vita na mabeberu
Na sasa wananchi ndio wamekuwa collateral damage
 

Huyo na hata wachangiaji uchwara unaowaona kumbuka pia wana elimu za kuunga unga mno. Tofautisha sana wote na hawa wa Lumumba university.

Wachangiaji nao ni another unique case tena, kwa Tanzania. Tofauti mno na wote hata katika nchi zilizotuzunguka.

Kwetu kila mwenye mdomo anabwabwaja tu. Kumbuka hata kuku, hata, kenge nk wana midomo!

,😂😂😂😂😂
 
Mkuu jilock down mwenyewe usisubiri selikari.

Asante kwa ushauri. Ninapunguza harakati zangu nje kuyajibu haya kikamilifu:



Ninanoa panga langu.

Ole wake nimsikie kikaragosi kafuata kodi ya kaisari.

Si kaisari kanitekeleza, nimeshindwa kwenda kutafuta riziki. Pia nimeshindwa kwenda kutafuta kodi.

Huo ndiyo ukweli wenyewe.

Watajiju kama ambavyo wamenitaka wao mimi kujiju!
 
Rock down tuu ndo hatari,Ila Corona Ni ugonjwa hatari sana
 


Mkuu inaonekana hunielewi ninachosema, narudia kusema hivi; kuendelea kuilaumu serikali hii inaposhindwa kutekeleza wajibu wake kwa raia walioipa dhamana kuwatumikia ni sawa na kazi bure, serikali iliisha kataa lockdown kipindi karibu dunia yote ikiweka lockdown (japo partial lockdown), kipindi hiki kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza serikali haitaki hata mtu atangaze kwamba Tz kuna Corona ila ipo Pneumonia sembuse kuchukua za kujilinda na Corona??!!---- yaani the "big boss" anasema; Corona hakuna, kama hakuna Corona how can he enforce an order for Corona that he claims doesn't exist??!!.

Ndiyo maana nikasema katika kipindi hichi cha vita ambapo serikali haitaki kutekeleza wajibu wake kila mtu achukue hatua individually kuanzia katika level ya nyumbani hadi nje ya nyumba; hakikisha nyumbani kwako watoto wananawa maji tiririka, mnatumia senitizer, angalau mnajifukiza na kutumia chai za tangawizi nk, unapotoka nje kutafuta riziki kwa ajili Mahitaji na kulipa kodi lukuki za serikali Vaa barakoa, tembea na sanitizer mara unapotoka katika mihangaiko unajipakaza senitizer mikononi, yaani tufanye ule utaratbu kama ilivyokuwa katika awamu ya Outbreak ya kwanza ya Corona ambapo tulijifunza namna ya kujilinda na Corona au tumeisha sahau??!!.

Huu sio wakati wa kulaumu serikali ni wakati wa kuhamashishana kutekeleza yale yote tunaweza kufanya kama raia tunojitambua kwani Governments Come and go but people remain, we have to take the required steps to remain alive as lives ought to continue.
 

Mkuu nilikiwa sijakusoma. Vitani huwapo pia "mioto rafiki" yaani "friendly fire."

Ninakushukuru sana kwa hekima yako.

Mapema nilipandisha uzi huu pia:


Hatuko wachache, tutakufa tukipigania kuishi.

United we stand!
 
Sasa kama hao watu wa namna hiyo bado wapo unajua basi serikali inapaswa ifanye hivo maan huwez sema m2 wa JF hapa avae barakoa lakini anapanda dala dala anajiexpose kwa watu wanaosubiri agizo la serikali hapo unaokoa nn? Serikali ikitoa tamko kila m2 atajikinga yeye na mwenzie..Usipende kuita watu ng'ombe jazba ya nini wakati watu wanaishauri serikali wajibu wake kwani we unaitetea serikali kwa lipi hapo na je una uhakika mtoa mada hajilindi?
 
Acha kujidanganya wewe huu ugonjwa ni ushirikiano wa mtu zaidi ya mmoja kwasababu we unajilinda lakini kama mwenzio hajilindi hamna unachofanya..Na vipi kuhusu kuongezeka kwa elimu ya kujikinga na tiba..Hivi leo hii wazungu walivo magenius still wanatoa elimu kwa watu wao Unataka wewe ambae kazi yako mara nyingi ni kuamka asubuhi kushika jembe kulima kurudi kulala au kulewa usipewe elimu
 
Hizo barakoa huko zinapotengenezwa.
Huu ugonjwa unawatesa vibaya mnoo.
Na barakoa wanatengeneza wenyewe
Ko unahisi wasingevaa barakoa wasingeteswa kama wanavyoteswa sahivi..Tatzo lenu mnaamin kuwa Mungu atatoa ugonjwa kwa kuflip tu kidole wakati imani zenyewe mfu..kama unajijua huna imani ya kutosha vaa barakoa acha story za vijiweni..
 
Haya, usichukue hatua subiri elimu ya serikali.
 
Tatizo sio vipimo.

Bali hizo barakoa maana tangu mwaka Jana mwezi wa kwanza zimeanza kutumika dunia nzima.lakini bado watu wanaambukizwa, na namba zinaongezeka.umuhimu wa barakoa upo wapi?
We sayansi inaonekana hata idea huna kabisa swali la kitoto sana? Tatizo likitokea hatua ya kwanza ni kulipunguza kadri uwezavyo mpaka itakapowezekana usifikiri ni kuflip the finger 2 tatizo limekata. Hivi hujui hizo njia zimesaidia sana wenzetu nd maambukizi yalipungua sana mpaka uingereza wakataka kurudisha watu viwanja vya mpira. Je unajua baada ya kurudi kilitokea nn?
 
Sasa unavaa barakoa ya nguo na unajiexpose kwa watu wasio na barakoa kabisa umelinda nn hapo duuu
 
Weka data za Corona kwanza
 
Hapa Tanzania tusipovaa barakoa na huko ulaya na marekani n.k wanapovaa barakoa NI wapi kuna wagonjwa wengi?
Ko unahisi wasingevaa barakoa wasingeteswa kama wanavyoteswa sahivi..Tatzo lenu mnaamin kuwa Mungu atatoa ugonjwa kwa kuflip tu kidole wakati imani zenyewe mfu..kama unajijua huna imani ya kutosha vaa barakoa acha story za vijiweni..
 
Hakuna ujinga hapo watu ukweli unabaki pale pale serikali inatakiwa ifanye kazi..kwani unadhani kila mtu kashuhudia kifo cha corona au yuko huku JF anapata taarifa za vifo..kipindi cha kwanza baad ya serikali kutangaza hatari mbona watu walivaa..huwez vaa barakoa kwa watu wasiovaa ukajifariji unajikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…