Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaTunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Mizaha na kuchukulia powa mambo kama hayaInaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.
Sijui tukoje!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa ni mpya bado haujapatiwa details za kutosha,Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Tupe uhalisia mkuu, maana inaonekana wajua Sana kihusu covid-19Tunatishwa sana tofauti na uhalisia
Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Wale madokta ni taka taka kabisa. Kirusi kinakaa kwenye hewa na watu wanatakiwa kuvaa maskWiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Kuvaa mask huko Asia ndiyo wamezoa ndiyo maana sasa hawaoni tabu yeyote ila tuliyobakia hali ni tofauti.Inaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.
Sijui tukoje!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nchi tajiri Kama marekani zinahangaika kuagiza,kutengeza,kuiba na kudhulumu mask,kwasababu sio ishu ya kitoto hiyo.hizo mask tukivaaa dunia nzima zitatoshaa?