#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
NY ndiyo inaongoza kwa maambukizo ya Corona kwa US sababu mojawapo watu wamekuwa wabishi kufuata sheria. Watu wengi wa NY wana asili ya Italia na hawajamaa ni wabishi sana. Hata kwa Ulaya Italia ndiyo ina ongoza kwa wagojwa. NY na California kumekuwa serious sana.
Wa italiano ni washenzi sana ni wabishi, wagonvi, wakorofi, wanajiona matawi ya juu kiasi kwamba hata raia wa Sweden, Norway na Finland hawapatani kivile kutokana na tabia zao. Sasa corona inawanyosha.
 
Binadamu mwema kamwe huwezi kuwa na dua mbaya kama hii kwa binadamu mwenzako, ujue kama mwenzako ananyolewa na wewe tia maji kichwani. Sote tupo dunia hii moja yenye maambukizi.
Mkuu wala siwaombei wafe ila tu huo ni Ukweli wala haujifichi hizo breeds hazina tolerance kabisa na hayo magonjwa yanayo affect mfumo wa hewa
 
NY ndiyo inaongoza kwa maambukizo ya Corona kwa US sababu mojawapo watu wamekuwa wabishi kufuata sheria. Watu wengi wa NY wana asili ya Italia na hawajamaa ni wabishi sana. Hata kwa Ulaya Italia ndiyo ina ongoza kwa wagojwa. NY na California kumekuwa serious sana.
Du! Nadhani hali ikiendelea hivi naona hata suala la kiulinzi na usalama linakuwa gumu incident inaweza kuwa kama inayosimuliwa na tamthilia ya the last ship
 
Mkuu wala siwaombei wafe ila tu huo ni Ukweli wala haujifichi hizo breeds hazina tolerance kabisa na hayo magonjwa yanayo affect mfumo wa hewa

Basi mwisho na tuombe Mungu awanusuru na sisi pia atunusuru, kwani dunia hii sote tunategemeana, Wazungu na Wasio wazungu, yoyote akipotea atakaye baki hatoishi kwa raha hapa duniani.
 
NY ndiyo inaongoza kwa maambukizo ya Corona kwa US sababu mojawapo watu wamekuwa wabishi kufuata sheria. Watu wengi wa NY wana asili ya Italia na hawajamaa ni wabishi sana. Hata kwa Ulaya Italia ndiyo ina ongoza kwa wagojwa. NY na California kumekuwa serious sana.
Hawa ni national guard (kama JKT) huwa wanasaidia kwenye maafa, kama hurricane.
 
Tuombeane hatujui kesho ni zamu ya nani wale waliosema kipindi china analipata hili janga watu walisema sababu anawatesa waislam italy nako yameibuka mengine
 
mjasilia,
Ubaguzi wao ni inferiority complex waliyonayo dhidi ya watu weusi, hawa (spain na Italy) waliwahi kutawaliwa na waafrika (moorish people). Na hao ndio waliopeleka ustaarabu kama kuwajengea mabafu ya umma ya kuoga.

Hivyo ili kujitutumua wanaonesha ubaguzi, wazungu wa north (scandinavia) huwa hawana ubaguzi wa kishamba kwa kuwa sababu hawakuwahi kuingiliana na watu weusi.
 
Basi mwisho na tuombe Mungu awanusuru na sisi pia atunusuru, kwani dunia hii sote tunategemeana, Wazungu na Wasio wazungu, yoyote akipotea atakaye baki hatoishi kwa raha hapa duniani.
MUNGU akubariki mkuu pamoja na uzao wako. Inafurahisha sana kujua kwamba bado dunia yetu ina watu wema wanaowatakia kheri wenzao katika nyakati ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom