Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 681
- 958
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo hakuna aja ya kunawa!!!.?Wakati mimi naenda kunawa nikifungua ile koki ya maji kama nina corona si nawaacha hapo kwenye koki ?
Na nikifunga koki baada ya kunawa nawachukua tena corona wangu na wengine nawaacha ?
Anaekuja kunawa atasalimika vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app