#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Nchi Kavu, hivi TID anaelekea wapi kama anaenda interview ya muhimu kama ile ya kumpa promo akiwa high, sasa sijui ni kalewa pombe ama madawa ila anaonyesha alikua chakari kabisa. Haoni kama anabebwa habebeki
 
Kwema WanaJf!

Njia kuu ya hivi virusi hatari kuingia mwilini ni puani na mdomoni. Virusi hivi target yao kuu ni kufika kwenye mapafu hapo ndio final destination yao na epicenter.

Virusi hivi ni kama vinameno makali sana kama ncha za nyembe ama vitu vyenye ncha kali lugha ya kitaalamu 'razor sharp teeth'.
  • Madhumuni ya hivi virusi ni kuanza total distraction immediately they enter the body yani ni kucreate fear and havoc to the body cells ili kuwadhoofisha wasiwe challenged kwenye counterattack wanapoelekea kwenye final destination mapafu.
Ndio maana dalili za mwanzo kabisa zinaanzia kwenye ulimi na koo kuuma kama unachomwa na vitu vyenye ncha kali ni kwasababu virusi hivi vinapita na havipiti tu hivi hivi bali vinakabidhi maumivu huku vinsshuka kuelekea mapafuni.

Vikifika kwenye mapafu lengo lao kuu ni uharibifu. Vinaanza kudonoadonoa, kumega na kung'atang'ata aggressively and violently na meno yao makali razor sharp teeth na kumuacha mhanga (victim) kwenye deep agonised pain.

Inapofikia mhanga anashindwa kupumua na anajoto (fever) kali yani hapo mapafu yamebaki kama chujio.

Chinese must pay for this atrocities to humanity.
 
Unapiga kazi muda mwingi Simu inatumika unanawa unaishika tena inamaana kama covid 19 Wapo mikonono watakuwa kwa Simu poa ukiirejea.

Kama covid 19 yupo mikononi au kwenye simu nini kifanyike


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanitaiza bos
1586018481106.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR, One of the most idiot person of 2020.Thinking about mobile phones but not disinfectant

Hivi nani alikuambia kunawa mikono kunatoa virusi, Virusi vinaondolewa kwa chemical reactions labda hizo sanitizer ila sio maji

Nguo zako ukifika nyumbani unapuliza dawa wakati wa kuzivua

Wewe ni Gifted fool kupambana na virusi ni gharama sio mapambio ya kusifu na kutukuza

Viatu ukifika nyumbani unapuliza dawa au unavua tu
 
Hawa watu wanafanya kazi za hatari sana. Lakini licha ya mlipuko wa Corona bado wanaendelea kufanya kazi vile vile yaani business as usual. Hawana vifaa Kinga (PPE), hawatumii sanitizer Wala distancing yeyote from Uchafu wanaouzoa au ubeba.

Inawezekana Hawa Ni watu ambao pengine wanaonekana hawana umuhimu wa kulindwa lakini nahisi Ni watu ambao wanaweza kuusambaza huu ugonjwa kwa urahisi sana.

Hii Ni kwa sababu watu Hawa ndiyo wanaobeba Uchafu masaki au huko ushuani halafu wanakuja kuishi uswahilini.

Tunaomba wenye mamlaka wawatolee Hawa watu tamko.
 
Yaani sina hata chembe ya uoga wala hofu pia, na hata utadhani huu ugonjwa hauui!
Mungu atusaidie sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Mungu atuepushe
maana sinalishika sharti hata moja!! kutembea ndo natembea mpaka basi nahama hadi mikoa kwa mikoa. Sihofii na sifatilii kabisa sijui korona imefikia wapi , mtu akizungumza kuhusu ukali wa korona kwangu naona ni kero kubwa.[emoji22] Mpaka najishangaa
 
Imethibitika ufanisi mkubwa tiba na kinga kwa maradhi mfumo wa koo limao,tangawizi ,vitunguu swaumu na kitunguu maji.Kamati itoe maagizo na baraka makampuni vinywaji baridi watengeneze kwa wingi juicy husika kwa garama nafuu na kusambaza kwa Watanzania. Wafungwa wanafunzi wagawiwe bure.Pia wenye nafasi tupeane hamasa kupeana misaada ya juisi hizo.

Kwani kama taifa hatuna uwezo kujikinga na kutibu wahanga wengi ikitokea.
Kinga ni bora kuliko tiba.Tunaanza na Mungu na kutumia maarifa aliyotujalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom