#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
I'll kumwita zito msaliti Ni siasa tu,mikwara ya kisiasa,angekuwa msaliti saa hizi Yuko lokapu,
Lakini tangu enzi za mwalimu,wanafunzi wa like wanapimwa ujauzito kwa kushitukiza na wajawazito ilukuwa ndo mwisho wakikugundua shule hamna,
Serikali ilikuwa sawa kwa mujibu wa makuzi yetu.
Labda Sasa dunia imebadilika..saa hizi binti atafanya ngono bila presha maana anajua akipata mimba,atazaa na Kisha kurudi shule

..sidhani.

..hakuna mtoto anafanya ngono bila kuogopa mimba.

..hawa huwa wamezidiwa na tamaa na vishawishi vya ngono.

..na presha siyo kurudi masomoni tu, kuna suala la kulea mtoto, heshima ya wazazi, uwezekano wa kutokuolewa, etc etc.

..hatua dhidi ya watoto waliopata mimba zilikuwa zinachukuliwa kimya-kimya, tatizo ni yule bwana mropokaji kutangaza vita dhidi ya wanaopata mimba mashuleni.
 
Mnasema jina la yesu ndio litaondoa ugonjwa kule Italy jina la yesu ndio limetamalaki kwa kiasi kikubwa na ndio makao makuu yenu, sasa inakuwaje hali ni mbaya zaidi?
Mkuu jina la Yesu linakaa ndani ya Moyo na Rohoni kwa mtu sio mahali fulani(location)
Rejea mazungumzo ya Yesu na yule mwanamke pale kiimani aliemuomba maki anywe
 
Duh!.. hii ni hatari.

Ukishavaa hiyo barakoa kuna kubadilisha baada ya masaa kadha? Kama ni jibu ni ndiyo

Je hizo barakoa za kumtosha kila mtu tutazipata wapi?
 
Duh!.. hii ni hatari.

Ukishavaa hiyo barakoa kuna kubadilisha baada ya masaa kadha? Kama ni jibu ni ndiyo

Je hizo barakoa za kumtosha kila mtu tutazipata wapi?
Nmewaza the same, bas tumuachie mungu muumba.
 
Duh!.. hii ni hatari.

Ukishavaa hiyo barakoa kuna kubadilisha baada ya masaa kadha? Kama ni jibu ni ndiyo

Je hizo barakoa za kumtosha kila mtu tutazipata wapi?
Mkuu ni rahisi sana kutengeneza ya kwako mwenyewe na uanweza kuifua. Wakati huu mafundi cherehani wanatakiwa wapige pesa.
 
Hio ni FAKE NEWS.
Jamani kabla hujapost kitu jaribu kufanya uhakiki kidogo.. kama umepata bundle la kupost kwa nini usijaribu kutumia hilo bundle atleast kuconfirm unachotaka kupost..

Kwanza unavyopost fake news unajidharirisha mwenyewe , unaonekana unakurupuka , unazua taharuki kwenye jamii..

Kwa studies zilizopo sasa hivi corona sio airbone..
 
Hawa baadae ndo hugeuka na kuwa mizigo ya Maxence Melo. Melo sometimes uwe unaangalia na mizigo ya kujitwisha. Mingine uwe unaitua tu!
 
nikiwa natoka kwangu kuelekea kwenye mizunguko yangu huwa navaa mask, cha ajabu wabongo huwa wananiangalia kwa jicho kali wakihisi kama najiendekeza au naringa.

yaani huku uswahili kwetu ukivaa kale kamask wabongo wanakuangalia kwa jicho la husda sana.
Hiyo Hali kila mtu anakutana nayo huku uswahilini
 
Hiyo habari ni feki. WHO walishaikanusha zamani.

Ni muhimu mkazingatia kinachosemwa na wataamu wetu badala ya kuokoteza habari feki za mtandaoni na kuanza kuwatisha wananchi.

Kusambaza feki news kuhusu gonjwa hili ni kosa kubwa la jinai. Hivyo ni vyema kuepuka vitendo vya aina hii. Na ninaomba mods kuitolea ufafanuzi sahihi thread hii kwamba siyo ya kweli. Na huyu aliyeleta uzi huu feki wa kuweza kusababisha taharuki apewe ban ya mwaka.

Yaani hata ukitafakari hilo tangazo kimantiki (logic) haiwezekani likatolewa na shirika la wataalamu wa afya duniani. Eti kila mtu duniani anatakiwa avae barakoa (mask) kila wakati na kila mahali! Yaani ukiwa kitandani, ukiwa unakula, ukiwa umelala, ukiwa unaoga, ukiwa mahali popote pale na saa yo yote pale lazima mtu uwe umevaa barakoa! Ujinga mtupu! Yaani eti barakoa ndiyo ufumbuzi wa tatizo hili!
Kwanza mdudu huyu ni mdogo sana ukilinganisha na matundu yaliyoko kwenye hizo barakoa. Halafu hivi virusi huweza kuishi siku kadhaa kwenye hizi barakoa na kama hazikutumiwa vizuri zinaweza kuongeza usambazaji wa gonjwa hili. Kwa mfano barakoa N95 inapaswa kubadilishwa kila baada ya nusu saa na mtumiaji anatakiwa kuwa fit tested kabla ya kuanza kuzitumia la sivyo zinaweza kumletea madhara makubwa ya kiafya!
 
Kwanza mdudu huyu ni mdogo sana ukilinganisha na matundu yaliyoko kwenye hizo barakoa.

Nadhani umeanza vizuri lakini kwenye hili umeyumba sana.. na nimeanza kutia mashaka chote ulichokiandika hapa kua ni mhemko wako tu.

Nina kila ushahidi wa kukuthibitishia kua zipo barakoa ambazo ni antivirus, tena nyingi ni hizi zinazotumika



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom