Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mnasema jina la yesu ndio litaondoa ugonjwa kule Italy jina la yesu ndio limetamalaki kwa kiasi kikubwa na ndio makao makuu yenu, sasa inakuwaje hali ni mbaya zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasema jina la yesu ndio litaondoa ugonjwa kule Italy jina la yesu ndio limetamalaki kwa kiasi kikubwa na ndio makao makuu yenu, sasa inakuwaje hali ni mbaya zaidi?
Waliozoea kubabuana ovyo wanapata taabu sanaAcheni Busu na kinachofuata baada ya busu, tendea kazi ushauri wa wataalamu
I'll kumwita zito msaliti Ni siasa tu,mikwara ya kisiasa,angekuwa msaliti saa hizi Yuko lokapu,
Lakini tangu enzi za mwalimu,wanafunzi wa like wanapimwa ujauzito kwa kushitukiza na wajawazito ilukuwa ndo mwisho wakikugundua shule hamna,
Serikali ilikuwa sawa kwa mujibu wa makuzi yetu.
Labda Sasa dunia imebadilika..saa hizi binti atafanya ngono bila presha maana anajua akipata mimba,atazaa na Kisha kurudi shule
Mkuu jina la Yesu linakaa ndani ya Moyo na Rohoni kwa mtu sio mahali fulani(location)Mnasema jina la yesu ndio litaondoa ugonjwa kule Italy jina la yesu ndio limetamalaki kwa kiasi kikubwa na ndio makao makuu yenu, sasa inakuwaje hali ni mbaya zaidi?
Nmewaza the same, bas tumuachie mungu muumba.Duh!.. hii ni hatari.
Ukishavaa hiyo barakoa kuna kubadilisha baada ya masaa kadha? Kama ni jibu ni ndiyo
Je hizo barakoa za kumtosha kila mtu tutazipata wapi?
Mkuu ni rahisi sana kutengeneza ya kwako mwenyewe na uanweza kuifua. Wakati huu mafundi cherehani wanatakiwa wapige pesa.Duh!.. hii ni hatari.
Ukishavaa hiyo barakoa kuna kubadilisha baada ya masaa kadha? Kama ni jibu ni ndiyo
Je hizo barakoa za kumtosha kila mtu tutazipata wapi?
Hiyo Hali kila mtu anakutana nayo huku uswahilininikiwa natoka kwangu kuelekea kwenye mizunguko yangu huwa navaa mask, cha ajabu wabongo huwa wananiangalia kwa jicho kali wakihisi kama najiendekeza au naringa.
yaani huku uswahili kwetu ukivaa kale kamask wabongo wanakuangalia kwa jicho la husda sana.
Huu uzushi umenipa hasara sana. Nimeenda kununua mask za laki mbili nimeweka nyumbani pia nimewaambia kama alivyosema mtoa mada. Daaah tusifanyiane hivi wakuu.Moderator kuna uzushi huku unasambaa.. futeni uzi huu
Hiyo habari ni feki. WHO walishaikanusha zamani.
hizo mask tukivaaa dunia nzima zitatoshaa?
ni shida.Hiyo Hali kila mtu anakutana nayo huku uswahilini
Saiv hadi mafund cherehan wanatengenezahizo mask tukivaaa dunia nzima zitatoshaa?
Na ujue ni masaa manne mannehizo mask tukivaaa dunia nzima zitatoshaa?
Kwanza mdudu huyu ni mdogo sana ukilinganisha na matundu yaliyoko kwenye hizo barakoa.