johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapo madaktari bingwa watatu wanatoa elimu kwa ufasaha kabisa!mkuu huyo dokta anakulisha matango pori
badili chaneli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo madaktari bingwa watatu wanatoa elimu kwa ufasaha kabisa!mkuu huyo dokta anakulisha matango pori
badili chaneli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio bwashee na kwa mantiki hiyo sijibu swali.
Ni mpuuzi kama wale wapuuzi waliokuwa wanapulizia dawa za kuua mende na viroboto ili kupambana na coronaHuyo DR anawauzia chai
Karibu katika mjadala mzuri sana wa kuelimisha unaoendelea sasa hivi katika Luninga ya ITV, kipindi ni Malumbano ya hoja.
Up dates;
Ulitaka warushe kipindi gani?Tbc wanarusha kupindi cha chereko
In God we Trust
bwashee itakuwa hao ni mabingwa wa kukaririWapo madaktari bingwa watatu wanatoa elimu kwa ufasaha kabisa!
Hahhaaa dah....! Wazee wa Uraia au sio....!Msomi wa civics huyawezi Mambo ya science! Fanya kama unazipita tu hoja nyingine zisizokuhusu na kinyume chake piga kimya tu hutachekwa!
Uelimishweje uelewe kuwa covid anaenezwa kwa njia ya hewa? Usichoshe wengine hapa kwa ungumbaro wako!
Tbc wanarusha kupindi cha chereko
In God we Trust
Ugonjwa mpaka uitwe airborne unatakiwa causative agents wake wawe wana uwezo wa kukaa hewani dk kadhaa mpaka masaa. Covid 19 sio airborne.It is an airborne desease. Full stop.
Bwashee unafuatilia mjadala lakini?!bwashee itakuwa hao ni mabingwa wa kukariri
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri!Ugonjwa mpaka uitwe airborne unatakiwa causative agents wake wawe wana uwezo wa kukaa hewani dk kadhaa mpaka masaa. Covid 19 sio airborne.
Hahahaaaaaa........bwashee enzi zetu tulikuwa na somo la Siasa hiyo Civics ni ya kizazi cha dotcom!
Fuatilia kipindi bwashee hujachelewa!
Excellent!JohnBaptist upo sahihi...
Ni wiki iliyopita tu hapa tulikuwa na huo mjadala huku wengine wakiamini COVID-19 ni airborne lakini sio!!
Kwavile kirusi kinakaa kwenye majimaji (mate & mafua), na vinatoka nje kwa staili hiyo... kwa kuhoa au kupiga chafya!!
Sasa kwavile haya majimaji ya mate/mafua ni mazito, there's no way yanaweza kuelea angani baada ya mtu kuwa amekohoa au kupiga chafya!
Ni kutokana na ukweli huo ndio maana watu wanasisitizwa sana kunawa mikono... WHY?
Kama kuna mtu ni COVID-19 Positive basi akikohoa au kupiga chafya kuna uwezekano mkubwa yale maji maji yakawa yametua kwenye sehemu ambayo ni kawaida mtu kuishika kwa mikono... kwa mfano, kwenye meza, laptop or any surface.
Aidha, ni kutokana na hivyo ndio maana pia tunasisitizwa kuzitakasa hizi surfaces... kama vile laptops, meza... na kwa wafanyakazi wa maofisini kwa wao ni muhimu maradufu kwa sababu unaweza kwenda lunch huku nyuma kwenye desk lako anakaa mtu mwingine.
Katika hali ya kawaida kabisa, hapo anapiga michafya yake, kukohoa kiasi kwamba zile droplet zinafika kwenye desk au kompyuta!!
Aidha, kutokana na huo ukweli kwamba COVID-19 sio airborne ndo maana pia tunashauriwa kukaa at least 1m kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Assumption hapa ni kwamba, mtu akikohoa au kupiga chafya, sio rahisi haya majimaji kuruka kwa umbali wa zaidi ya 1M.
Kama ingekuwa ni airborne, social distancing isingekuwa na maana yoyote kwa sababu kirusi kingekuwa hewani kinaeleaelea kwahiyo hata ukikaa meta 500 isingesaidia!
HOWEVER, wapo Wanasayansi ambao walikuwa kwenye Label Experiments, na walifikia conclusion kwamba, some conditions zinaweza kusababisha COVID-19 virus kusafiri kwa njia ya hewa!
Kwa mfano, let's assume kwenye hizi mashine zetu za kusaga unga. Mtu aliye positive anaweza kukohoa na yale maji maji kabla hayajashuka chini, yanaweza kutua kwenye particles za unga zinazopeperuka! So, katika mazingira kama hayo zile particles zinaweza kutembea kwa umbali fulani hewani wakati zikiwa contaminated na virus.
Alll in all, official statement ndo hiyo... SIO AIRBORNE.
Acha kupotosha!! Ina maana mate /maji maji mtu akipiga chafya/kukohoa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine husafiri kwa njia ya hewa???!! Kwanza kirusi/bacteria kuweza kusafiri kwa njia ya hewa lazima awe na uwezo wa kuelea hewani kwanza, na hivyo basi density yake lazima iwe ndogo kuliko ile ya hewa, ili aweze kuelea hewani, lakini COVID-19, hana wepesi huo wa kuweza kubakia hewani,. Kulingana na wataalamu wa afya. Ndio maana wana sisitiza distance ya kuanzia mita moja,kati ya mtu na mtu. Hizo small particles lazima ziwe na uwezo kwanza wa kuelea hewani.Mimi siyo Daktari lakini mbona hizi vitu ni vidogo sana watu wanatakiwa watumie akili ya kawaida tu. Anaposema Corona inaambukizwa kwa njia ya Mate..kamasi na machozi je amesema vinasafiriaje kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kama siyo hewa.
Watu wakawekwa kwenye utupu je kuna uwezekano wa mate kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine iwapo wanasimama mita 6?
Tunaposema small particles je hajui kua zinasafirishwa kwa njia ya.hewa?