Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Sanaa hizoo, Tusitishane mgonjwa wa kutengeneza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂 watu wanakimbilia mikoani na familia zao,hapa natafuta shamba nichukuwe familia yangu tukakae huko hata miezi 3.Hali ni tete wakuu....mlioko daslamu msisubiri kupigwa lockdown jiongezeni,na huku "mikoani" hatuwataki😷😷😷
Kama ni kweli sawa pole yake ila kama ni comed na serikal wameamua kufanya hivyo ili kuwatisha walevi watakuwa wamekosea sanaaa,na hapo ndipo watawafanya watanzania waufanye huu ugonjwa kama sehemu ya siasa tu,MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona.
Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi.
Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya Amana akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.
Akieleza namna alivyogundulika kuwa ana corona,amesema hii ni baada ya kwenda kupima wiki iliyopita hospitali ya Temeke.
"Nina bosi wangu wa karibu ambaye kapata ugonjwa huu na kwa kuwa mara nyingi tuko naye alinishauri na mimi nikapime kwa nia njema ili kama ninao nipate matibabu mapema na kuepuka kuwaambukiza wengine.
" Hivyo nilienda hospitali ya Temeke, wakanipima ndipo nilipokutwa ninao na kuletwa hapa Amana ambapo kwa sasa ni moja ya kituo cha wagonjwa,"amesema Pierre.
Alipoulizwa anadhani ni wapi kaupatia, amesema "Huu ugonjwa mimi nitakuwa nimembukizwa nikiwa baa hakuna sehemu nyingine kwa kuwa ndio maeneo yangu ya kujidai,".
Hata hivyo amewapongeza baadhi ya viongozi waliotoa tamko la kufungwa kwa baa na kueleza kuwa hatua hiyo ni nzuri kwa kuwa maeneo hayo watu kuwa makini kujikinga na ugonjwa huu ni ngumu na pia huusisha mikusanyiko ambapo mtu akiwa hajalewa anaweza kukaa mbali na watu lakini pombe zikishamuingia akili hiyo haitakuwepo tena.
Wito wake kwa wananchi ameshauri kuchukua tahadhari ikiwemo maelekezo kutoka kwa wataalam wa afya kama kunawa mikono na maji tiririka,kuvaa barakoa na kuongeza kuwa hata yeye kabla hajaupata ugonjwa huo alikuwa hauchukulii kwa uzito.
" Wananchi nawashauri mchukue tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huu, kwani mimi pia nilikuwa nauchukulia kimasihara, lakini sasa hivi kama hivyo nimekuwa mtu wa kukaa ndani, kushinda na barakoa na kulala na barakoa, gambe silipati tena maisha ambayo sikuyazoea, hivyo kinga ni bora,"ameshauri Pierre.
Familia yake ni walevi wenzake nao wako karantiniMCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona.

Unawaume wangapi, huoni kama nawewe unaendekeza mkusanyiko usiokua wa lazima..?
Tulia na mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi atakua kapata kwa yule polisi ambae taarifa zake zilikua zinazunguka mitandaoni juzi juzi maana nae alisema anakunywa hapo likud'Nina Boss wangu ameupata..' Vs `Ntakuwa nimeupata Bar..' Asante kwa mwelewa ujumbe umefika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule kamanda wa matrafiki nasikia ndo aliukwaa hapo bar na ikafungwa, kigogo aliisema mapema hii sasa itakuwa ndo alikuwa nae karibuNahisi atakua kapata kwa yule polisi ambae taarifa zake zilikua zinazunguka mitandaoni juzi juzi maana nae alisema anakunywa hapo likud