CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

Kuna aafande mmoja nitwa islam au muslim kama sikosei. Yupo hoi mloganzila bar yao ilikuwa liquid kurasini hapo ndio walipombukizana kwa hio ni kweli kabisa piere anao.

Watu wa mikoani wameshauriwa wasikae karibu na watu wanaotoka Dsm
 
Wabongo vichwa ngumu sana. Yaani bado wanajaza bar na sehemu kama hizo. Sijui nyumbani hakukaliki?!!
 
Kuna gazeti limeandika mchekeshaji Pierre Liquid Yuko hoi kitandani katika hospital ya Amana akidaiwa kuugua corona na kwa maelezo yake anadai atakuwa aliipata Bar.

Tunaomba maelezo kwani taarifa zimezagaa mno mitandaoni na kuzusha hofu. Wasiwasi wetu usijekuwa Ni upotoshaji au mzaha wa kisanii
 
Ule uzi wa wa walevi tukutane hapa, nilienda kushaur tupumzike kidgo kwenda bar nilitolewa nduki mpaka leo sijaingia uko tena
 
Kuna gazeti limeandika mchekeshaji Pierre Liquid Yuko hoi kitandani katika hospital ya Amana akidaiwa kuugua corona na kwa maelezo yake anadai atakuwa aliipata Bar.

Tunaomba maelezo kwani taarifa zimezagaa mno mitandaoni na kuzusha hofu. Wasiwasi wetu usijekuwa Ni upotoshaji au mzaha wa kisanii
Wewe uelezwe ili iweje?
Matibabu ni siri ya matabibu na mgonjwa.

Je wewe ummy akueleze ili ufanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli sawa pole yake ila kama ni comed na serikal wameamua kufanya hivyo ili kuwatisha walevi watakuwa wamekosea sanaaa,na hapo ndipo watawafanya watanzania waufanye huu ugonjwa kama sehemu ya siasa tu,
baadhi ya vijiwe bado wanauingiza huu ugonjwa kama siasa tuu hakuna hatua ambayo inachukuliwa kwa kweli bado tuna mtiani sana,na kikubwa. serikali ni kuwa wa kweli,kwa asilimia 100.
Yaani serikali iwatishe walevi? Kwa lengo gani sasa
 
Nimeenda jana ubungo kukata tuketi nije hko hilo nyomi la watu wanaosafiri utadhan ni mwez wa 12,tunakuja kwa wingi mkuu hamna namna mutupokee tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu wa Dar mnakuja mikoani kufata nini 😳wakati Dar ndio kila kitu, Dar ndio Tanzania, Dar mambo yote, nk? Mnafikiri mkishakuja kutapakaza hiyo corona huku mikoani mtakimbilia wapi tena? Nyie komaeni hapo hapo Dar sasa kinachowakimbiza kitu gani?
Kwanza tambueni kwamba huku mikoani ndio uzalishaji mkubwa wa chakula unafanyika, kwahiyo mkileta corona huku uzalishaji ukashindwa kufanyika mtaiua nchi nzima kwa njaa..!!!
 
Nyie watu wa Dar mnakuja mikoani kufata nini [emoji15]wakati Dar ndio kila kitu, Dar ndio Tanzania, Dar mambo yote, nk? Mnafikiri mkishakuja kutapakaza hiyo corona huku mikoani mtakimbilia wapi tena? Nyie komaeni hapo hapo Dar sasa kinachowakimbiza kitu gani?
Kwanza tambueni kwamba huku mikoani ndio uzalishaji mkubwa wa chakula unafanyika, kwahiyo mkileta corona huku uzalishaji ukashindwa kufanyika mtaiua nchi nzima kwa njaa..!!!
Hatuna namna mkuu, namba one mwenyewe kasepa kaiacha meli baharini mimi ni nan nisijiongeze. Nipokee mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom