CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

Wazee wa baa mjiandae,jamaa wanatengeneza mazingira ya kufunga baa zote..baa moja ya mheshimiwa waziri flani iliyopo maeneo ya vingunguti imeshafungwa leo
 
Huyu Katumiwa ili kutisha walevi.
.

Huu ni ujinga.
 
Kama ni kweli sawa pole yake ila kama ni comed na serikal wameamua kufanya hivyo ili kuwatisha walevi watakuwa wamekosea sanaaa,na hapo ndipo watawafanya watanzania waufanye huu ugonjwa kama sehemu ya siasa tu,
baadhi ya vijiwe bado wanauingiza huu ugonjwa kama siasa tuu hakuna hatua ambayo inachukuliwa kwa kweli bado tuna mtiani sana,na kikubwa. serikali ni kuwa wa kweli,kwa asilimia 100.
 
Familia yake ni walevi wenzake nao wako karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…