Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wabongo vichwa ngumu sana. Yaani bado wanajaza bar na sehemu kama hizo. Sijui nyumbani hakukaliki?!!Kuna aafande mmoja nitwa islam au muslim kama sikosei. Yupo hoi mloganzila bar yao ilikuwa liquid kurasini hapo ndio walipombukizana kwa hio ni kweli kabisa piere anao.
Watu wa mikoani wameshauriwa wasikae karibu na watu wanaotoka Dsm
Ile bar ya Lion..wene sio?Wazee wa baa mjiandae,jamaa wanatengeneza mazingira ya kufunga baa zote..baa moja ya mheshimiwa waziri flani iliyopo maeneo ya vingunguti imeshafungwa leo
Modi ipandishe hii clip kule juuHuyu hapa
Nimeenda jana ubungo kukata tuketi nije hko hilo nyomi la watu wanaosafiri utadhan ni mwez wa 12,tunakuja kwa wingi mkuu hamna namna mutupokee tuu.Hali ni tete wakuu....mlioko daslamu msisubiri kupigwa lockdown jiongezeni,na huku "mikoani" hatuwataki[emoji40][emoji40][emoji40]
Oh ishakuwa shida mie ntahamia Uganda kwa mudaNimeenda jana ubungo kukata tuketi nije hko hilo nyomi la watu wanaosafiri utadhan ni mwez wa 12,tunakuja kwa wingi mkuu hamna namna mutupokee tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakimbia dar kwa kasi aisee, mikoan wajiandaeOh ishakuwa shida mie ntahamia Uganda kwa muda
Haya maneno ya kibabaishaji ndio yameleta shida watu hawajui ukweli Ni upi
Mwana FA yuko hospitali.Au ndio yale yale ya maigizo ya Mwana FA?
Wewe uelezwe ili iweje?Kuna gazeti limeandika mchekeshaji Pierre Liquid Yuko hoi kitandani katika hospital ya Amana akidaiwa kuugua corona na kwa maelezo yake anadai atakuwa aliipata Bar.
Tunaomba maelezo kwani taarifa zimezagaa mno mitandaoni na kuzusha hofu. Wasiwasi wetu usijekuwa Ni upotoshaji au mzaha wa kisanii
Yaani serikali iwatishe walevi? Kwa lengo gani sasaKama ni kweli sawa pole yake ila kama ni comed na serikal wameamua kufanya hivyo ili kuwatisha walevi watakuwa wamekosea sanaaa,na hapo ndipo watawafanya watanzania waufanye huu ugonjwa kama sehemu ya siasa tu,
baadhi ya vijiwe bado wanauingiza huu ugonjwa kama siasa tuu hakuna hatua ambayo inachukuliwa kwa kweli bado tuna mtiani sana,na kikubwa. serikali ni kuwa wa kweli,kwa asilimia 100.
Nyie watu wa Dar mnakuja mikoani kufata nini 😳wakati Dar ndio kila kitu, Dar ndio Tanzania, Dar mambo yote, nk? Mnafikiri mkishakuja kutapakaza hiyo corona huku mikoani mtakimbilia wapi tena? Nyie komaeni hapo hapo Dar sasa kinachowakimbiza kitu gani?Nimeenda jana ubungo kukata tuketi nije hko hilo nyomi la watu wanaosafiri utadhan ni mwez wa 12,tunakuja kwa wingi mkuu hamna namna mutupokee tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna namna mkuu, namba one mwenyewe kasepa kaiacha meli baharini mimi ni nan nisijiongeze. Nipokee mkuuNyie watu wa Dar mnakuja mikoani kufata nini [emoji15]wakati Dar ndio kila kitu, Dar ndio Tanzania, Dar mambo yote, nk? Mnafikiri mkishakuja kutapakaza hiyo corona huku mikoani mtakimbilia wapi tena? Nyie komaeni hapo hapo Dar sasa kinachowakimbiza kitu gani?
Kwanza tambueni kwamba huku mikoani ndio uzalishaji mkubwa wa chakula unafanyika, kwahiyo mkileta corona huku uzalishaji ukashindwa kufanyika mtaiua nchi nzima kwa njaa..!!!
Ukweli gani unaoutaka wewe, corona is real na dar ndio Wuhan kwa sasaHaya maneno ya kibabaishaji ndio yameleta shida watu hawajui ukweli Ni upi
Mkae hukohuko dar, itabidi tufanye Kama nakuru akija mtu kutoka dar anapigwa kiberiti anaweza kuwa mgonjwa ka yule dereva wa fusoUkweli gani unaoutaka wewe, corona is real na dar ndio Wuhan kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkae hukohuko msijetuletea magonjwaHatuna namna mkuu, namba one mwenyewe kasepa kaiacha meli baharini mimi ni nan nisijiongeze. Nipokee mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app