CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

Mara tunambiwa tuchape kazi tusitishane, mara tuvae barakoa, mara tufunge na kuomba.... sasa tufuate lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia ingetakiwa Africa nzima tuwatembezee kichapo wachina.
Yani wanatuletea korona wamekula mapopo huko then wanakukataza kuingia kwenye supamaketi. Sema tu wengi huku africa ni mabosi wetu
Kwahiyo tuamini watu wa dar wote wagonjwa mtu kapita bar kanywa bia chali, mkae hukohuko ndio maana Guinea wameamua kuwatembezea kichapo wachina wakiwatuhumu kuleta corona africa
 
Kiki za bongo hatar sana

god is good
 
Hi balaa !yaani walevi alikuwa nao,abiria aliosafiri nao,baa maid aliemhudumia, demu wake chain kama yote
 
Mbona analeta kichekesho kwenye jambo muhimu? Kwanza anasemaje bosi wake alipata Corona na akamshauri na yeye akapime, anasahahu alilosema kisha anasema atakuwa ameipata baa kwani ndiyo sehemu yake ya kujidai! Huyu ndiye Liquid japo ubongo wake hauna mtiririko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…