Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

G Sam,
Na sisi wananchi tumwombe jiwe kwa siku Tatu akataze mikusanyiko mikubwa popote nchini.
 
Watu tunaomba toka corona imeingia. Hata kwenye biblia watu waliomba na kuingia vitani kupigana. Yeye anaomba na kulala Chato.
Tusijifiche kwenye kivuli cha maombi.
Kazi na Sala


Sent from my iPhone using JamiiForums
Faith without works is dead!!
 
Naamini katika MUNGU NA MBIO!
Si rahisi kupima huhudi kumwelekea Mungu; inawezekana kupima 'mbio'. Je mbio zetu ni sahihi kadiri ya nguvu aliyonayo adui?
 
Wewe eleza hapa hapa tu ana watu wake wanapitaga huku...watamfikishia ikibidi hata itengenezee uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kashaona dalili za ugonjwa kufika kikomo na anahimiza watu kusali ili ikifika wiki ijayo maambukizi yatakapo pungua, awazodoe wale wanaomkejeli kwamba njia anazotumia za maombi si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kibwetere alichoma watu wa aina yako. Acha kuabudu sanamu boss.
 
Mwafrika kweli ni kituko.
Wazungu wanakesha laboratory kuvumbua chanjo na tiba sisi kazi kumtaja Mungu tu.
Alikuwa wapi mpaka ugonjwa unaingia anaucheki tu, Leo anasubiri aombwe ndio auondoe.
Basi huyo Mungu ni mbinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…