G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
Hayo sijui umeyatolea wapi!?
Raisi hajasema tuombe kwa kutumia dini hizo unazosema ww, (za wazungu)
Kasema "tuombe kwa siku tatu".
Unakwama wapi ww!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi hajasema tuombe kwa kutumia dini hizo unazosema ww, (za wazungu)
Kasema "tuombe kwa siku tatu".
Unakwama wapi ww!!?
Hiyo dini waliitunga na kuitengeneza wazungu. Ndio maana wanajua maombi hayana msaada wala maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app