Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 903
Nimeyapenda maneno haya, watanzania tuingie kwenye maombi, hakika tutashinda hii vita inayotukabili, hii vita ya korona, ni Mungu pekee anayeweza kutushindia, raisi wetu ameonyesha njia, tusimame kwa imani tusonge mbele Mungu ataliponya taifa. Hakika Mungu atajidhihirisha na dunia itashangaa. Watanzania tuungane bila kujali dini wala siasa.
View attachment 1421261
Kila mmoja asali chumbani kwake kwa imani yake. Hata wanaoamini mizimu pia waombeTukakusanyike misikitini na makansan kumuomba Mungu atuondolee Corona cyo!!!!
Sawaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana weeeTumepata kiongozi mwenye hofu ya Mungu ni jambo jema sana.
Strange kuna majitu yanaimba mapambio!Kwa hiyo ni moja ya mikakati yake ya "Do nothing" dhidi ya corona kwa hiyo mkakati wake wapili ni kwenda kulundikana kwenye nyumba za ibada na kupigiana chafya hahahaa
Kwa huyu tuliingia choo cha kike
Itabidi usali, halafu utuletee mrejesho hapahapa ukisalimika. Ushuhuda!Tusali tu hamna namna, watu wanapukutika. Leo nimeamka na fever sijui nilishapata. Mungu nisaidie.
achana na thinking ya kienyeji as if you have not gone to school.Kwanini ukitupa jiwe linarudi chini, MUNGU KAPENDA!Ile hali iliyotokea maeneo ya Dar na kwingineko saa 12 jioni hakika ilikuwa fikirishi. Kwa wale wasomaji wa biblia Genesis 8 Ile Rainbow ilikuwa na maana kubwa hasa wakati huu wa hili janga la Corona. Tumuombe kwa Imani zetu.
Inawezekana.Hi ni dalili ya kukata tamaa
Matatizo ya kisayansi yanahitaji ufumbuzi wa kisayansi na matatizo ya kiimani yanahitaji ufumbuzi wa kiimani.Inawezekana.
Lakini usisahau kuwa inaweza kuwa sehemu ya kulaza watu akili. Taifa linapokuwa na wajinga wengi hata mbinu za kilaghai hufanya kazi.