Enzi za hizo utawala,kama umependa kumuingiza Mungu,kulikuwa na maovu kama ya leo? Alikupa akili uweze kuchambua lipi jema,lipi baya. Kwa hiyo,mtasubili na Corona ndo aje aamue nini chakufanya? Utasubili sanaKuna watawala kadha wa kadha walipokabiliwa na hatari na maadui ambao hawana uwezo nao, walitumia njia hii ya kumwomba Mungu na Mungu akawapigania na kuwashindia. Naamini hata sasa, Mungu aweza (ikiwa ni mapenzi yake) kupigana upande wetu dhidi ya Corona na tukapata ushindi
Bora yeye anaye tumaini Mungu asiyeshindwa, aliyeumba mbingu na nchi kuliko wewe jasiri mwenye kutumaini utasalimika kwa sabuni na pombe.Hi ni dalili ya kukata tamaa
Kweli tupu. Wao wanataja magari, wengine farasi lakini sisi tutataja jina la Mungu wa majeshi. Tutavuka salama.thats the bold and strong move, huku tukizingatia tahadhari zitolewazo ndio njia pekee itakayoyuvusha katika hili. Tukisema tunapambana we are doomed!
Naimani wote watu 50+mill tutakutana 31 dec kusherehekea mwaka mpya tukiwa wazima wa afya tele. Tupambane na hofu ndio mbaya zaidi
Siku zote tunatakiwa kuwa karibu na Mungu wetu. Na kumtanguliza ktk kila jambo. Tusisubiri tunapopata majanga ndio tukumbuke kuwa kuna Mungu. Hapo ni sawa na kujifunza kuogelea wakati unazama.Hili suala si la mzaha tunahitaji sana kuwa karibu na mungu wetu, yeye ndie atatupa njia ya wokovu pamoja na jitihada zetu
Kusali ni hadi uende nyumba ya ibada?Tukakusanyike misikitini na makansan kumuomba Mungu atuondolee Corona sio!!!!
Sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba Mungu kupitia mizimu ya mababu zako
Siku zote tunatakiwa kuwa karibu na Mungu wetu. Na kumtanguliza ktk kila jambo. Tusisubiri tunapopata majanga ndio tukumbuke kuwa kuna Mungu. Hapo ni sawa na kujifunza kuogelea wakati unazama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umefuraaaaaaaaaahi mwenyeweNdio ajue kuwa rais haina maana unajua Kila kitu... Alipoambiwa mapema achukue tahadhari akaleta ujuaji
Kwani kasema nchi hii inadini?Nanukuu maneno ya baba wa taifa kwamba nchi hii haina dini ila watu mmoja mmoja ndio wana dini, hivyo si vema kuwaamia watu waswali na kusali wakati nchi ina watu wengi wapagani na wenye chuki na dini lazima tutofautishe utawala na dini maana kama nchi hatuna dini ndio maana hata wapagani kama wakina kingunge walituongoza bila shida hatukuangalia dini zao.
Maswala ya kusali yahamasishwe na viongozi wa dini.Watanzania wanaoamini ktk Mungu tuendlee na dua.
Tusivunjwe moyo na sauti za kuzimu kama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app