Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Katika hali ya kukosa kipindi kizuri kutoka channels tofauti za television nikatune tbc1, mara nakuta maelfu wa watu wakiwa ibadani. Nilijua ni recorded kumbe ni live kabisa. Watu wamebanana, lile jengo ni ghorofu limejaa watu chini na juu.
Kwa mtindo huu ule utaburi wa WHO juu ya Afrika unaweza kutimia.
Kumuamini kivipi?Umamuamini MUNGU au unaongea ongea tu?
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Katika hali ya kukosa kipindi kizuri kutoka channels tofauti za television nikatune tbc1, mara nakuta maelfu wa watu wakiwa ibadani. Nilijua ni recorded kumbe ni live kabisa. Watu wamebanana, lile jengo ni ghorofu limejaa watu chini na juu.
Kwa mtindo huu ule utaburi wa WHO juu ya Afrika unaweza kutimia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wakati huwa nawaza hivi sisi ni binadamu kamili kweli, hivi hatuwezi kufanya ibaada nyumbani na Mungu akasikia maombi yetu na huku tunakuwa tumechukua tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana dini huyuUmamuamini MUNGU au unaongea ongea tu?