Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Maombi hayambadilishi Mungu bali umbadilisha mtu. Kwa nini tusijadili sana ili la mtu kubadilika?
Kwa mfano kuweka mazoea ya kunawa maji tiririka kwa sabuni.
2.kujizuia kushiriki mikusanyiko isiyo ya lazima kama vile kucheza bao nk.
3.kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
4.kutoa taarifa kwa mamlaka husika unapo muona mtu mwenye viashiria vya mambukizi.
5.kubadilika kitabia kwa binadamu kumesaidia mataifa mengi kupunguza maambukizi ikiwemo Italy, I spania, marekan, afrika kushiriki nk.

6.kwani ni sisi tusibadilike maana sio vibaya kuiga mazuri kwa faida yetu na vizazi vyetu.
 
Mleta mada ni vyema ukakumbuka huyo anaetuambia tumuombe Mungu anajua kuna watu wameikimbia hii nchi karibia mwaka wa tatu sasa wakihofia usalama wao, na yeye kwa nafasi yake ameshindwa kufanya chochote kurekebisha hali hiyo.

Sasa mimi ningependa unioneshe andiko ambalo mtu aliemrudia Mungu alipata majibu ya maombi yake huku akiendelea na maovu yake, nitashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuanze na maombi ya tindi lissu yaliyokatazwa kwa bunduki
harafu tuje kwenye ombi lenu
 
Siko hapa kwa ajili ya kuzoeana na MTU mwenye kuropoka kama wewe! Popote nitakapoona umepost ujinga nitakujibu accordingly, wala usijali utanyooka tu!
Ndiyo mala ya kwanza kumiliki simu janja huyo Bia Yetu,usisukbuke na kula kulala
 
Umeandika vema neno la Mungu ila bila kufuata taratibu za kitabibu haya yote uliyoyaandika ni taka taka.

Lazima watu wpimwe c-19, lazima serikali iwe na mikakati ya kuinua uchumi na kuangalia tabaka lililoathirika zaidi.

Kama haya yote hamfanyi gata muombe na kusaga meno.

Sala zenu hazitafika poppte.
Imani ni kitu kingine.

Msiwe wapumbavu.

 
Mbona sijaona ulpotibitisha kosa la Mch.Msigwa kusema...Maombi hayambadilishi Mungu...au Mimi Sielewi
 
Tunakazi ya kupambana na korona vile vile tunakazi ya kupambana na ujinga wa dini ambao watu wengi wanaweza kubweteka kujikinga huku wakiamini wanalindwa na damu ya bwana yesu
Mimi nilijua katika hili msioamini Mungu mtatusumbua sana na wale wasanii ila wanasema wanadini zao lakini ni wanafiki watatusumbua,dini ya kweli yenye mafundisho sahihi haijawahi kuwa ujinga.Hili ni suala la imani sasa kama huna imani waache wenye imani zao,hata wengine wanalindwa na mizimu na wao ni imani na wanaamini wanalindwa.Linapokuja suala la Mungu huwa ni shida ila ingekuwa mambo ya kishetani mngeunga mkono.Dini ya kweli haijawahi kuwa ujinga isipokuwa ninachojua "mambo ya imani kwa wasioamini ni kama upumbavu".Kwa hiyo kama huna imani ni kweli kwako dini ni ujinga na uko sahihi kwa mtazamo wako.
Tatizo haya mambo ni level ya juu kuliko wengi wanavyotamani, kwa hiyo kwa sababu imani Mungu anaangalia utii na siyo akili za darasani au kiwango cha elimu(sisemi tusisome) wengi baada ya kupata vielimu wanaona sayansi ni kila kitu na dini ni ujinga.
 
Kabla hatujaenda kwa Mungu, tunataka atuambie kuwa Ben Saanane yuko wapi na Atuambia ni kina nani walitaka kumuua Tundu Lisu.
 
My viewpoint
Ok,then it is an opinion and not fact,thanks for your view point,we do not become what people say we are if we do not allow to be what they say we are.In communication avoid generalization,they are women who hate men and there men who hate women if you ask them they have a story to tell for their view point but we can not generalize and say men are bad or women are bad.It is called perception a.k.a. Mtazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…