Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Nani amekwambia wamekwama ? Mkuu research takes time muda bado, virus hawajamjua vizuri ili kutengeneza chanjo.., Virus haina dawa ni mwili ndio unatengeneza kinga ya kupambana na virus..., na kupata chanjo ni kuwezesha wale ambao hawajapata ugonjwa ili mwili uweze kutengeneza kinga kabla ya kupata ugonjwa..., sadly all those things takes time...

Time ambayo watu wasipofuata ushauri ili ugonjwa usisambae zaidi huenda wakawa ni historia by the time chanjo imepatikana..., Kumbuka pia sidhani kama kifo ni adhabu, na kama kila mtu atakufa na kwa imani yako unaamini Mungu anajua muda na saa, sasa kwanini umpangie akuache uendelee kukaa duniani (au nimekosea Imani yako haisemi hivyo ?)
Imani yangu?! Ninaamini Mungu ana uwezo wote na ametupa wanadamu zawadi inaitwa free will ambayo tuitumia kufanya maamuzi, yakiwemo hayo ya kujikinga na kuzingatia kanuni za afya! Inawezekana Mungu anataka tuishi miaka mingi lakini tukapunguza kwa kutumia vibaya free will! Lakini hoja yangu, utaalamu utumike, lakini maombi ni muhimu pia!
 
Imani yangu?! Ninaamini Mungu ana uwezo wote na ametupa wanadamu zawadi inaitwa free will ambayo tuitumia kufanya maamuzi, yakiwemo hayo ya kujikinga na kuzingatia kanuni za afya! Inawezekana Mungu anataka tuishi miaka mingi lakini tukapunguza kwa kutumia vibaya free will! Lakini hoja yangu, utaalamu utumike, lakini maombi ni muhimu pia!
Maombi ni muhimu kwa nafsi yako.., yanakupa confidence na hope..., mwingine kwake sio muhimu sababu hana Imani, mwingine anatambika ndio anapata confidence.., kwenye hili if I was a betting man ningeweka dau langu kwenye wale wanasayansi ambao sasa hawalali kwa kutafuta chanjo na wale wanaojitolea kuwa tested ili kuona kama hizo chanjo zinafaa..

Hili gonjwa sio mwisho wala mwanzo wa pandemics... kwa kumalizi naomba upitie hapo chini

Here’s how five of the world’s worst pandemics finally ended.

1. Plague of Justinian—No One Left to Die
Yersinia pestis


Yersinia pestis, formerly pasteurella pestis, was the bacteria responsible for the plague. Here it's seen under optical microscopy X 1000.
BSIP/Universal Images Group/Getty Images
Three of the deadliest pandemics in recorded history were caused by a single bacterium, Yersinia pestis, a fatal infection otherwise known as the plague.

The Plague of Justinian arrived in Constantinople, the capital of the Byzantine Empire, in 541 CE. It was carried over the Mediterranean Sea from Egypt, a recently conquered land paying tribute to Emperor Justinian in grain. Plague-ridden fleas hitched a ride on the black rats that snacked on the grain.

The plague decimated Constantinople and spread like wildfire across Europe, Asia, North Africa and Arabia killing an estimated 30 to 50 million people, perhaps half of the world’s population.

“People had no real understanding of how to fight it other than trying to avoid sick people,” says Thomas Mockaitis, a history professor at DePaul University. “As to how the plague ended, the best guess is that the majority of people in a pandemic somehow survive, and those who survive have immunity.”


2. Black Death—The Invention of Quarantine
A couple suffering from the blisters of the Black Death, the bubonic plague that swept through Europe in the Middle Ages. From the Swiss manuscript the Toggenburg Bible, 1411.


A couple suffering from the blisters of the Black Death, the bubonic plague that swept through Europe in the Middle Ages. From the Swiss manuscript the Toggenburg Bible, 1411.
VCG Wilson/Corbis/Getty Images
The plague never really went away, and when it returned 800 years later, it killed with reckless abandon. The Black Death, which hit Europe in 1347, claimed an astonishing 200 million lives in just four years.

As for how to stop the disease, people still had no scientific understanding of contagion, says Mockaitis, but they knew that it had something to do with proximity. That’s why forward-thinking officials in Venetian-controlled port city of Ragusa decided to keep newly arrived sailors in isolation until they could prove they weren’t sick.

At first, sailors were held on their ships for 30 days, which became known in Venetian law as a trentino. As time went on, the Venetians increased the forced isolation to 40 days or a quarantino, the origin of the word quarantine and the start of its practice in the Western world.

“That definitely had an effect,” says Mockaitis.

READ MORE: How Rats and Fleas Spread the Black Death

3. The Great Plague of London—Sealing Up the Sick
Scenes in the streets of London during the Great Plague of 1665.


Scenes in the streets of London during the Great Plague of 1665.
The Print Collector/Getty Images
London never really caught a break after the Black Death. The plague resurfaced roughly every 20 years from 1348 to 1665—40 outbreaks in 300 years. And with each new plague epidemic, 20 percent of the men, women and children living in the British capital were killed.


By the early 1500s, England imposed the first laws to separate and isolate the sick. Homes stricken by plague were marked with a bale of hay strung to a pole outside. If you had infected family members, you had to carry a white pole when you went out in public. Cats and dogs were believed to carry the disease, so there was a wholesale massacre of hundreds of thousands of animals.

The Great Plague of 1665 was the last and one of the worst of the centuries-long outbreaks, killing 100,000 Londoners in just seven months. All public entertainment was banned and victims were forcibly shut into their homes to prevent the spread of the disease. Red crosses were painted on their doors along with a plea for forgiveness: “Lord have mercy upon us.”

As cruel as it was to shut up the sick in their homes and bury the dead in mass graves, it may have been the only way to bring the last great plague outbreak to an end.

4. Smallpox—A European Disease Ravages the New World
Dr. Edward Jenner performing his first vaccination against smallpox on James Phipps, circa 1796.


Dr. Edward Jenner performing his first vaccination against smallpox on James Phipps, circa 1796.
DEA Picture Library/Getty Images
Smallpox was endemic to Europe, Asia and Arabia for centuries, a persistent menace that killed three out of ten people it infected and left the rest with pockmarked scars. But the death rate in the Old World paled in comparison to the devastation wrought on native populations in the New World when the smallpox virus arrived in the 15th century with the first European explorers.

The indigenous peoples of modern-day Mexico and the United States had zero natural immunity to smallpox and the virus cut them down by the tens of millions.

“There hasn’t been a kill off in human history to match what happened in the Americas—90 to 95 percent of the indigenous population wiped out over a century,” says Mockaitis. “Mexico goes from 11 million people pre-conquest to one million.”

Centuries later, smallpox became the first virus epidemic to be ended by a vaccine. In the late 18th-century, a British doctor named Edward Jenner discovered that milkmaids infected with a milder virus called cowpox seemed immune to smallpox. Jenner famously inoculated his gardener’s 9-year-old son with cowpox and then exposed him to the smallpox virus with no ill effect.

“[T]he annihilation of the smallpox, the most dreadful scourge of the human species, must be the final result of this practice,” wrote Jenner in 1801.

And he was right. It took nearly two more centuries, but in 1980 the World Health Organization announced that smallpox had been completely eradicated from the face of the Earth.

READ MORE: How an African Slave in Boston Helped Save Generations from Smallpox

5. Cholera—A Victory for Public Health Research
A satirical cartoon showing the River Thames and its offspring cholera, scrofula and diptheria, circa 1858.


A satirical cartoon showing the River Thames and its offspring cholera, scrofula and diptheria, circa 1858.
Hulton Archive/Getty Images
In the early- to mid-19th century, cholera tore through England, killing tens of thousands. The prevailing scientific theory of the day said that the disease was spread by foul air known as a “miasma.” But a British doctor named John Snow suspected that the mysterious disease, which killed its victims within days of the first symptoms, lurked in London’s drinking water.


Snow acted like a scientific Sherlock Holmes, investigating hospital records and morgue reports to track the precise locations of deadly outbreaks. He created a geographic chart of cholera deaths over a 10-day period and found a cluster of 500 fatal infections surrounding the Broad Street pump, a popular city well for drinking water.

“As soon as I became acquainted with the situation and extent of this irruption (sic) of cholera, I suspected some contamination of the water of the much-frequented street-pump in Broad Street,” wrote Snow.

With dogged effort, Snow convinced local officials to remove the pump handle on the Broad Street drinking well, rendering it unusable, and like magic the infections dried up. Snow’s work didn’t cure cholera overnight, but it eventually led to a global effort to improve urban sanitation and protect drinking water from contamination.

While cholera has largely been eradicated in developed countries, it’s still a persistent killer in third-world countries lacking adequate sewage treatment and access to clean drinking water.

READ MORE: Pandemics that Changed History
 
Mkuu, wapingaji mbona wako hapa Tu, wakitumia vidole vyao kuchapisha Mandiko ya kupinga na kukataa maombi, lakini mbona tunakutana vizuri huko kwenye nyumba za Ibada!!

Wacha wapinge, lkn Giza la mauti lijapotanda miongoni mwa jamii zao, Jeuri yote itawakimbia, mwenye jeuri ya kumdhihaki Mungu hajawahi kuzaliwa hii Dunia, farao na Ujinga wake wote, alikubali kuwaachia Wana Israel wsondoke mikononi mwake

Wanasahau wakizani hili nalo ni kama Upinzani wa CCM na Chadema, wakidhani wanamkomoa Mbowe na Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania, uwabariki na viongozi wetu wa kisiasa,

Kipekee Mbariki Raisi wetu JPM
Eti kipekee Mungu ambariki Magufuli, umeanza vizuri mwisho ukaharibu.
Unadhani Mungu anambabaikia Magufuli kwa Urais wake Kama wewe hadi umeweka kipekee?
Mungu, ni wa wote wenye mwili, na Magufuli ni Rais wa wana CCM tu na siyo watanzania wote.
Ndo maana Police walimuua Akwilina na hawakamatiki, ndo maana Ben Saanane aliuawa na serikali ya Magufuli kikatili kwa kosa la kumkosoa Magufuli Elimu yake.
Ndo maana Azory Gwanda alipotezwa, na maovu mengi tu.
Huo upekee ubaki kwako ,achana na Mungu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Jumamosi.

Mwenye macho haambiwi tazama. Kila mchungaji anayeongea anaonekana kuisifia sana hatua hii ya Rais Magufuli ya kutangaza siku tatu za maombi juu ya janga la Corona.

Kila mchungaji anatuhakikishia kuwa baada ya haya maombi tutaona jinsi tutakavyoishinda Corona na hivyo hatutakiwi kuogopa ugonjwa huu kwani "hofu" ni kitu kibaya sana.

Kila baada ya sentensi mbili unalisikia jina la Rais likitajwa hivyo basi mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ushindi "utatangazwa" hivi karibuni.

Tukumbuke kuwa idadi ilianza kwa uchache, baadaye ika-shoot ghafla na ndipo Rais Magufuli (chaguo la Mungu) kwa imani akatangaza kuwa kuwe na siku tatu za maombi.

Hivyo basi KUANZIA JUMATATU TUTEGEMEE KABISA KUWA IDADI ITAANZA KUPUNGUA KWA KASI YA AJABU NA WENGI WATAPONA!!

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuomba kwa siku tatu kama alivyo agiza mheshimiwa Rais Magufuli Siyo: kuacha kuzingatia maelekezo yote ya kitaalamu, siyo kukubali kwamba serikali ipo sahihi kwa kila kitu! Siyo kuunga mkono juhudi, siyo kufumbia tatizo macho!

Kukubali kuomba ni kukubali kwamba janga hili ni kubwa, ni kuona jinsi ambavyo, hata nchi zenye maendeleo makubwa ya kitabibu na utaalamu, wamekwama! Ni kuamini kwamba mwenyenzi Mungu anaweza kutusaidia, kutokomeza ugonjwa, kutupa hekima ya kukabiliana na ugonjwa na kutulinda! It is a high time that we work together in unity, because we have a common enemy!

Tunatofautiana itikadi, imani na mambo mengi kimtazamo, lakini tuna adui mmoja anaye tushambulia kwa sasa, tuungane kumkabili! Kila Mtu kwa imani yake, Mh. Godbless Lema ametuwekea mfano.
Nenda kilimani ukajiunge nae kufanya maombi ili mungu wake awasikie,mungu wenu ndio aliwaambia mtoe roho za wapinzani,wakosoaji ili muende peponi.
Mimi nafunga siku 3 kumuombea yeye na bashite wapate corona


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kipekee Mungu ambariki Magufuli, umeanza vizuri mwisho ukaharibu.
Unadhani Mungu anambabaikia Magufuli kwa Urais wake Kama wewe hadi umeweka kipekee?
Mungu, ni wa wote wenye mwili, na Magufuli ni Rais wa wana CCM tu na siyo watanzania wote.
Ndo maana Police walimuua Akwilina na hawakamatiki, ndo maana Ben Saanane aliuawa na serikali ya Magufuli kikatili kwa kosa la kumkosoa Magufuli Elimu yake.
Ndo maana Azory Gwanda alipotezwa, na maovu mengi tu.
Huo upekee ubaki kwako ,achana na Mungu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachukua pointi yako ya msingi, Mungu ni wa wote! Tumwelekezee Yeye maombi yetu!
 
MAOMBI MAALUM YA SIKU TATU YA KITAIFA
KWA AJILI YA UGONJWA WA COVID-19

SIKU YA PILI (18.4.2020)
UTANGULIZI
“Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie Bwana madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi. Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, kama Bwana alivyomuamuru… Naye Daudi akamjengea Bwana madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za Amani. Basi Bwana aliiridhia nchi, na tauti ikazuiliwa katika Israel” (2Sam.24:18, 25).

Mungu aliiadhibu Israel kwa ugonjwa wa tauni. Watu 70,000 wakafa kwa wakati mmoja(2Sam.24:15). Lakini Mungu alighairi adhabu ya kuwauwa watu waliokuwepo Yerusalem(2Sam.24:16). Nabii Gadi akamwambia mfalme Daudi akamjengee Mungu madhabahu katika kiwanja cha Arauna Myebusi(2Sam.24:18). Mfalme Daudi alitii na kufanya hivyo. Mara baada ya kujenga madhabahu hiyo, tauni ikakoma katika Israel (2Sam.24:25).

Kiwanja cha Arauna ndipo ambako mfalme Sulemani alimjengea Bwana Hekalu (2Nya.3:1).Hapa ndio mlima Moria, ambako Ibrahim alimtoa sadaka mwanawe Isaka(Mwa. 22:2).Lakini Badala ya Isaka kutolewa sadaka, Mungu akampa Ibrahim mwana kondoo wa sadaka, Isaka akapona kifo(Mwa.22:12,13). Yesu Kristo alisulubiwa Golgotha (Mk.15:22). Huu ni mlima uliopo mahali ambapo ni moja ya vilima vya milima ya Moria. Kwa hiyo madhabahu ya Arauna ina uhusiano na madhabahu ya Golgotha.

Rais wetu ameona jinsi COVId-19 inavyoangamiza dunia(Dan mpaka Beer-sheba). Hivyo ameitikia wito wa kujenga madhabahu ya maombi ili Mungu aiponye Tanzania (Yerusalem). Wito mkuu wa maombi haya ni TOBA na KUMLILIA Mungu kwa ajili ya KUIPONYA Nchi yetu ili TUSIANGAMIZWE. Kwa hiyo, tuombee mambo yafuatayo:

SHUKURANI
1. Mshukuru Mungu kuwa kama ilivyokuwa kwa Daudi, Rais Magufuli ametii sauti ya Mungu ya kujenga madhabahu ya maombi Nchi nzima.
2. Mshukuru Mungu kwamba kama ilivyokuwa kwa Yerusalem, ndivyo itakavyokuwa kwa Tanzania.Tauni itakoma wakati huu ambako Rais pamoja na watu wake wanajenga madhabahu ya maombi katika nchi.
3. Mshukuru Mungu kwamba Kanisa limekubali kusimama mahali palipobomoka (Eze.22:30).
TOBA
1. Fanya toba Binafsi ili Mungu asikie na kukubali maombi yako(Neh.1:5-11)
2. Fanya toba ya kimaombezi kama Musa, kwa ajili ya nchi ya Tanzania. Soma kwa sauti (Kut.32:11-14).
3. Msihi Mungu kwa Damu ya Yesu ya Agano Jipya iliyomwagika katika madhabahu ya Golgotha arehemu Tanzania na watu wake. Soma kwa sauti (Zab. 32)
4. Tubu kwa ajili ya wanaodhihaki wito wa Rais Magufuli wa kufanya maombi ya kitaifa na kuona kuwa maombi hayo si msaada. Soma kwa sauti (Ezr.9:6,7)
MAOMBI
1. Omba Mungu aondoe COVID-19 katika nchi ya Tanzania kama alivyofanya kwa mji wa Yerusalem. Hata kama COVID-19 imeua watu katika nchi nyingine isiwe hivyo hapa kwetu (2Sam.24:16).
2. Omba Mungu aangalie kifo cha mwanawe Golgotha na atuondolee Janga la COVID-19 Tanzania (Rum.8:32).
3. Omba sadaka ya Yetu pale Golgotha ikafidie ugonjwa wa COVID-19 badala ya vifo vya watu kama ilivyokuwa kwa Isaka na mwana kondoo(Ebra.9:14) (Mt.20:28).
4. Kataa nguvu za kaburi na roho ya mauti kwa wagonjwa wa COVID-19. Soma kwa sauti (Hosea.13:14) na (1Kor.15:55-57).
5. Omba ulinzi kwa wasiougua na omba kwamba ugonjwa usiendelee kusambaa kwa watu wengine. Soma kwa sauti (Zab 91).
6. Futa maneno yaliyosemwa na watu kuwa Afrika itashuhudia maiti zikizagaa mitaani kwa sababu ya COVID-19. Tuma malaika mharibu akaue maneno hayo katika ulimwengu wa roho (Isa.54:16, 17).
7. Endelea kuombea watalaam wa afya. Maji na Damu ya Yesu viwafunike, viwakinge na kuwatakasa na maambukizi ya virusi vya Corona(Yn.19:33)
MWISHO
1. Mshukuru Mungu kwa maombi yote uliyofanya, ukiamini kuwa atajibu.
2. Muombe Mungu ashughulike na mahitaji yako binafsi. Atakabali sadaka yako hii ya maombi(Zab.20:1-4)

Amina.🙏🙏🙏🙏
 
Nenda kilimani ukajiunge nae kufanya maombi ili mungu wake awasikie,mungu wenu ndio aliwaambia mtoe roho za wapinzani,wakosoaji ili muende peponi.
Mimi nafunga siku 3 kumuombea yeye na bashite wapate corona


Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema na kweli, asiye mwepesi wa hasira, ana kazi kweli kweli! Sala zote hizi, sijui hata anafanyaje uchambuzi wa ajibu ipi aache ipi!! 😂😂! Cha muhimu ni siku 3 za sala, Mungu atajibu mwenyewe!!
 
Habari za Jumamosi.

Mwenye macho haambiwi tazama. Kila mchungaji anayeongea anaonekana kuisifia sana hatua hii ya Rais Magufuli ya kutangaza siku tatu za maombi juu ya janga la Corona.

Kila mchungaji anatuhakikishia kuwa baada ya haya maombi tutaona jinsi tutakavyoishinda Corona na hivyo hatutakiwi kuogopa ugonjwa huu kwani "hofu" ni kitu kibaya sana.

Kila baada ya sentensi mbili unalisikia jina la Rais likitajwa hivyo basi mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ushindi "utatangazwa" hivi karibuni.

Tukumbuke kuwa idadi ilianza kwa uchache, baadaye ika-shoot ghafla na ndipo Rais Magufuli (chaguo la Mungu) kwa imani akatangaza kuwa kuwe na siku tatu za maombi.

Hivyo basi KUANZIA JUMATATU TUTEGEMEE KABISA KUWA IDADI ITAANZA KUPUNGUA KWA KASI YA AJABU NA WENGI WATAPONA!!

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni nani kwa Mungu? He is just like any other mad around the city who picks garbage for food.
Mchungaji badala ya kuomba Mungu Corona itoweke anaanza kumsfia Magufuli,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Tundu Lisu, amekuwa Corona!!? Kwa SASA Taifa linaomba ili Mungu aingilie Kati kuhusu Corona,

Kitacho baki mioyoni mwa watu, ni hukumu zao Ila Sio za Mungu, na Mungu hapangiwi, apendacho hutenda, ni Kwa ajiri yake mwenyewe
Harafu hapo hutanii ndio imani yako kabisa! Mungu ni wa haki tofauti na hiyo mungu wako!

Kwahiyo nimchinje mtuu harafu nifunge na kuomba huyo mungu wako yeye poa tuu! Mungu Yehova angehitaji toba ya kweli kwanza na si ufedhuli!
 
"magufuli ametii sauti ya Mungu".....sikiliza wewe....sauti ya watu ndio sauti ya Mungu ninaemuamini Mimi.mengine ni kujikomba mpaka mnakaribia kufuru sasa.yani yeye anaenda kisengerenyuma na mnapiga makofi.dubwana tunalo watz. Lishatuvagaa
 
Back
Top Bottom