kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Dalili ya mvua ni mawingu. Dalili ya mlipuko wa Volcano ni mfuko wa moshi. Ukiona wazungu wanahangaika kupita maelezo juu ya issue fulani, basi ujue ni kama ule wakati wa kuchimba mahandaki kwa ajili ya kujihifadhi kuchelea mwanzo wa mapambano ya vita kati ya nchi mbili. I presume it is going to be a plague which will never be controlledHi ni dalili ya kukata tamaa
Nchi pekee duniani tunayoamini tutaishinda corona kwa maombi pekee. Tuna Mungu wetu wa pekee dunia nzima!! Hii nchi ingekuwa imewapa watu wake elimu, mzee baba asingekalia tena kiti hii 2020!
Huwezi kuiondoa Corona kwa kulala chali juu ya MaweHi ni dalili ya kukata tamaa
Unadhani partial lockdown is effective? Mfano, jinsi Kenya wanavyofanya 1800hrs to 0500hrs lakini daytime watu wapo busy na mwingiliano katika ishu zao lakini bado maambukizi yapo juu na vifo juu.
Nadhani kwa nchi masikini, ni ngumu sana tena sana ku-manage hili janga. Kwanza uchumi wa mataifa masikini na uchumi wa raia mmoja mmoja. Sisi ni watu wa hand-to-mouth kila iitwapo leo, tutamlaumu mkuu lakini katika hili I stand with him. Ilà maombi na kwenda kanisani sio suluhu...

I stand with you man, kusema watu wasali, seriously? Halafu wakimaliza kusali nini kinafuata? Ningependa kujua nini hasa serikali inafanya hasa baada ya kupata misaada ya wadau, mfuko wa majanga, elimu ya keep distance, wash/sanitize your hands nk. Nini hasa wanafanya?Umeandika vizuri sana. "Partial lockdown ya masaa" si suluhu kabisa. "Total lockdown" kwetu inachangamoto ya umasikini...lakini zaidi ya yote "do nothing" na kuamini maombi kuwa ni mbadala ni aibu kama nchi na inatuonesha tunavyoishi kama 'wanyama' wasio na uwezo wa kufikiri kujisaidia.
Are you stupid or what!!!?He is supposed to rally his people to fight this pandemic by instituting policies that will help them stop the spread of the disease!!! Make water available and affordable so that people can easily wash their hands!!! Praying alone won't help because even the almighty helps those who first help themselves!! The priority should be to protect human life and not material things.
Mmeambiwa epukeni mikusanyikoTukakusanyike misikitini na makansan kumuomba Mungu atuondolee Corona cyo!!!!
Sawaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app