Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Hi ni dalili ya kukata tamaa
Dalili ya mvua ni mawingu. Dalili ya mlipuko wa Volcano ni mfuko wa moshi. Ukiona wazungu wanahangaika kupita maelezo juu ya issue fulani, basi ujue ni kama ule wakati wa kuchimba mahandaki kwa ajili ya kujihifadhi kuchelea mwanzo wa mapambano ya vita kati ya nchi mbili. I presume it is going to be a plague which will never be controlled
 
Nchi pekee duniani tunayoamini tutaishinda corona kwa maombi pekee. Tuna Mungu wetu wa pekee dunia nzima!! Hii nchi ingekuwa imewapa watu wake elimu, mzee baba asingekalia tena kiti hii 2020!

Guys, people are trying, watu wanajitahidi sana pamoja na kuwa wengi bado wanalichukulia kiutani na masikhara. Kitendo cha daladala kuwa level seats tu ni jambo jema, watu wanajitahidi ku-sanitize kila ofisi. Shida kubwa ni umasikini wetu tu, ukiwaona wachuuzi, watu wa bodaboda nk ndio utajua hii vita no ngumu.
 
Watanzania wenzangu hizi ni nyakati za ajabu sana hapa duniani,
Raisi kukimbilia kuomba ? Ivi mtu utaombaje kwa MUUMBA ambaye ameshapanga yake abadilishe maamuzi yake, au unamaanisha una uwezo mkubwa kushinda YEYE,

MUUMBA katoa challenge hii haina tofauti sana na ile aliyowapa wana Israel kupakaa damu ya mwanakondoo malangoni mwao ili watoto wao wa kiume wasiuliwe.

MUUMBA aliumba virusi na mwanadamu wote tunafata kanuni alizoweka ambazo hazijawahi kubadilika kamwe. Tokea enzi za musa ukirusha jiwe juu lazima lishuke chini. Kwa sayansi mwanadamu anaweza chungulia kidogo kanuni hizi za MUUMBA zisizobadilika.
 
Unadhani partial lockdown is effective? Mfano, jinsi Kenya wanavyofanya 1800hrs to 0500hrs lakini daytime watu wapo busy na mwingiliano katika ishu zao lakini bado maambukizi yapo juu na vifo juu.

Nadhani kwa nchi masikini, ni ngumu sana tena sana ku-manage hili janga. Kwanza uchumi wa mataifa masikini na uchumi wa raia mmoja mmoja. Sisi ni watu wa hand-to-mouth kila iitwapo leo, tutamlaumu mkuu lakini katika hili I stand with him. Ilà maombi na kwenda kanisani sio suluhu...

Umeandika vizuri sana. "Partial lockdown ya masaa" si suluhu kabisa. "Total lockdown" kwetu inachangamoto ya umasikini...lakini zaidi ya yote "do nothing" na kuamini maombi kuwa ni mbadala ni aibu kama nchi na inatuonesha tunavyoishi kama 'wanyama' wasio na uwezo wa kufikiri kujisaidia.
 
It seems sooner or later tuanarudisha mpira kwa kipa.... it’s either curfew or total lockdown. God forbid
 
Unadhani partial lockdown is effective? Mfano, jinsi Kenya wanavyofanya 1800hrs to 0500hrs lakini daytime watu wapo busy na mwingiliano katika ishu zao lakini bado maambukizi yapo juu na vifo juu.

Nadhani kwa nchi masikini, ni ngumu sana tena sana ku-manage hili janga. Kwanza uchumi wa mataifa masikini na uchumi wa raia mmoja mmoja. Sisi ni watu wa hand-to-mouth kila iitwapo leo, tutamlaumu mkuu lakini katika hili I stand with him. Ilà maombi na kwenda kanisani sio suluhu...

My kaka hata hizo nchi zilizoweza lockdown sio kwamba lockdown inafanya kazi 100%, we don't expect it to..inachofanya ni kupunguza rate ya maambukizi,..allowing free movements ni kama kwenye uko in denial,its not happening while it is...inaweza isionekane effective ila ni kwa sababu tayari tuliruhusu watu waambukizane initiatlly, yes we can do something about the future..

Kuhusu Kenya sijui factors zinazofanya vifo view juu..je kwa kuwa wana more testing kits na probably good record system..mimi sijui..ila kama waliweka hio ban,wameiacha mpaka sasa hivi it means it is working..i'm sure these things zinaenda kwa evaluations/re-evaluations.. na wanaangalia vitu vingi kabla ya kuruhusu kuendelea na intervention sio vifo pekee
 
Umeandika vizuri sana. "Partial lockdown ya masaa" si suluhu kabisa. "Total lockdown" kwetu inachangamoto ya umasikini...lakini zaidi ya yote "do nothing" na kuamini maombi kuwa ni mbadala ni aibu kama nchi na inatuonesha tunavyoishi kama 'wanyama' wasio na uwezo wa kufikiri kujisaidia.
I stand with you man, kusema watu wasali, seriously? Halafu wakimaliza kusali nini kinafuata? Ningependa kujua nini hasa serikali inafanya hasa baada ya kupata misaada ya wadau, mfuko wa majanga, elimu ya keep distance, wash/sanitize your hands nk. Nini hasa wanafanya?
 
Record ya raisi aliowahi kufanya mzaha kama huu

Ghana ilikua na kesi 6 za maambukizi ya korona. Raisi akaitisha kikao na wachungaji pamoja na masheikh kwa ajili ya kuomba, siku zilizofuata waathirika waliongezeka hadi kufikia kesi 62 za maambukizi

Raisi hakuchoka akawataka wananchi wote wafunge na kusali, na siku zilizofuata ilifikia kesi 132 za maambukizi

Hapo ndipo watu wakajua kua Sky daddy is not a doctor

Bible & Quran has mentally destroyed the black race

Wakati wenzetu wanajutia uamuzi uliofanywa na raisi wao, huku kuna watanzania wanachekelea Sasa hawajui kua taratibu tunaelekea kutumbukizwa kwenye shimo lenye mamba

hapa tutegemee kuona idadi ya waathirika wengi kuongezeka

Juzi hapo kabla yesu hajafufuka kulikua kimya kabisa ila tangu huyu jamaa afufuke tumekua tukitangaziwa taarifa kwa mkupuo watu wakiongezeka kuathirika. Hiyo inatokana na watu kujisahahu kuchukua tahadhari za kiafya wakiamini kwamba sehemu ambapo wapo (majumba ya ibada) ni salama



It's Scars
 
He is supposed to rally his people to fight this pandemic by instituting policies that will help them stop the spread of the disease!!! Make water available and affordable so that people can easily wash their hands!!! Praying alone won't help because even the almighty helps those who first help themselves!! The priority should be to protect human life and not material things.
Are you stupid or what!!!?
there is a lot of scientific solutions to combat the situation issued by the URT gov.
it won't save any purpose if the president repeat the same story
 
Back
Top Bottom