Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Ngoja niombe Mimi na kijikinga mana tunao pata vihoma Kila siku morning tunajua Nini anamaanisha

Tuweke pemben uchama tuwaombee na wengine wapone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwafrika kweli ni kituko.
Wazungu wanakesha laboratory kuvumbua chanjo na tiba sisi kazi kumtaja Mungu tu.
Alikuwa wapi mpaka ugonjwa unaingia anaucheki tu, Leo anasubiri aombwe ndio auondoe.
Basi huyo Mungu ni mbinafsi
Aliyesema watanzania chapeni kazi msitishike na corona yuko wapi? Nauliza tu.

My life is mine to remember
 
Corona imetuchanganya Hadi mh kasahau tarehe na siku duuuh

We ndo umesahau tarehe maana yeye kasema kuanzia tarehe 17-19 April( Ijumaa-j2) wewe tarehe yako iliyo sahihi ni ipi tofaut na hiyo ya mh.
 
Mwishowe mtatuelekeza tumwombe Mungu wa Geo Davie, sisi tulianza kuomba kwa Mungu wa Daniel long time mkaingilia kati mara oooh marufuku kukusanyika leo tena mnatupanga jameni muwe na msimamo mmoja tu tutashinda
 
Truth Teller,
Ni wachache sana wanaweza kuelewa ukichokiandika na kukimaanisha,wengi sana watakubeza kwa sababu hawajui mambo ya kiroho bali wanaishi kwa kufata mkumbo kwa watu wengine wakifikiri kuwaiga wao Ndio dunia inabyoenda..

hata kama wakimbeza Mh Rais,ikumbukwe kwamba dunia nzima inaweza kuwa kinyume na wewe lakini Mungu akiwa upande wako lazima utawashinda tu haijalishi idadi yao wanaokupinga ni wangapi:

# I stand with my president that God is the only solution to covid-19.
 
Waulize Italy kilichotokea, pamoja na sanamu ya bikira Maria kuzungushwa mipaka ya Italy walikiona cha moto. JPM hii ni sayansi huo sio mkakati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao walikuwa wana abudu sanamu kitu ambacho ni chukizo mbele za Mungu. Lakini sisi tutamlilia na kumuabudu Mungu aliye hai na asiyeonekana kwa macho lakini mwenye matokea chanya kwa wale wamuabuduo katika roho na kweli:

# I stand with my president that God is the only solution to covid-19.
 
Ni wachache sana wanaweza kuelewa ukichokiandika na kukimaanisha,wengi sana watakubeza kwa sababu hawajui mambo ya kiroho bali wanaishi kwa kufata mkumbo kwa watu wengine wakifikiri kuwaiga wao Ndio dunia inabyoenda.. hata kama wakimbeza Mh Rais,ikumbukwe kwamba dunia nzima inaweza kuwa kinyume na wewe lakini Mungu akiwa upande wako lazima utawashinda tu haijalishi idadi yao wanaokupinga ni wangapi:

# I stand with my president that God is the only solution to covid-19.

Mungu gani anamsikiliza huyo jamaa?
 
Kwa hiyo katika marais wote duniani ni Magufuli pekee anayeweza kusikilizwa na Mungu?

Hakika hili linawezekana.maana hata Mungu pia anaangalia ni nani miongoni mwa marais na wakuu wa nchi wote aliyetayari kumuamini kwamba ataiponya nchi hata kama kuna majanga kiasi gani.
 
Watanzanja ujumbe umemetufikia tayari. Sasa kuanzia kesho ni maombi ya kitaifa kila mmoja funga na kuomba. Kataa kula chipsi zozote wala chai....naomba kwa ambao hawakuchukulia sirious wachukue hii.....iwe umeokoka hujaokoka,una house boy au house girl mwambie akiache chakula.

Rais amefanya kama mfalme wa ninawi alivyofanya......waliingia wote maombi ya kufunga, wakamlilia BWANA katika dhiki zao,
Akawaponya na shida zao.zaburi 107:6

Nasi tunaenda kumpazia MUNGU sauti zetu kwa pamoja na kwa umoja ili atuvushe ktk msimu mgumu kama huu.

Naomba share kama mlivyoshare ujumbe uliopita, nimeona karibia WATU 2000 mmesambaza.......sambazeni na huu tafadhari. Nakuombea wewe mwenge kufanya kazi hii na kutii kuingia maombi haya Yesu akunusuru na mabaya yote.

_ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao_ .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom