Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu maana ya kukata tamaa wewe?,Mtu aliyekata tamaa hawezi kusema tumuombe Mungu,ndio sababu tunasema kukata tamaa ni dhambi maana hupelekea kutomtumainia Mungu tena.Hivyo Mheshimiwa Rais ameonyesha kuwa tegemeo lake ni Mungu tu na huu msimamo wa kiimani alikuwa nao tangu mwanzo.Hi ni dalili ya kukata tamaa
Sio kwamba wewe ndio umesahau?Corona imetuchanganya Hadi mh kasahau tarehe na siku duuuh
Sio mchezo aiseeKama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe wewe dada humuamini pia Mungu? Uzima usikupe kiburiHi ni dalili ya kukata tamaa
Ndio, kusali ni njia pekee itakayo weza kutuokoa. Acha kiburi cha uzima.Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata dini au malimao yakate yachemshe kunywa ya moto nusu glass kila siku usaidia CoronaMajani ya limao sasa mtihani. Mpaka yafuatwe huko mashambani. Wa mjini Kazi tunayo
Kwa Imani yako kila mmoja asali Kama mizimu inakusaidia wwe ombaAngesa tukatambike ningemwelewa Wataliano Wenyewe wamesusiwa na YESU Siku hizi Tatu nitafanya matambiko Yakutia sad aka ya Dani na NYAMA ILA SITAKUSANYA WATU
Wengi ukumbuka Mungu baada ya kukata tamaa pale akili zao zinapogotaKwa hiyo wewe kumwomba Mungu ni kukata tamaa? Hivyo wewe huomba Mungu tu ukishakata tamaa?
Blaza kaka umepewa akili itumie, kwani umekatazwa kujifungia ndani? Jifungie ndani kuokoa uzima wako ni ruksa.Navojua magonjwa ya Giza ndo huwa yanafanyiwa Maombi, lakini haya ambayo tayari yanajulikana namna ya kuyaepuka kama Lockdown... Hapa tunamtafuta Mungu lawama tu.... Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
MUNGU hasikii sala za wenye dhambi, kwanza atubu RISASI ZA LISSU, amuite lissu na kumuomba msamaha, awaombe radhi wengine wote ndio asali otherwise ni kelele mbele za Mungu
Hofu ya Mungu au hofu ya uchaguzi,hofu ya Mungu yasingetokea yaliyotokea,wa Mungu utenda ya Kimungu.Kupiga picha kanisani sio kumjua Mungu.Tumepata kiongozi mwenye hofu ya Mungu ni jambo jema sana.
Maombi hayawahususisi wapagani je ?
Ili kupata Kinga ya utumbuzi, kila Waziri alihadi kufanya kitu Chato wengine uwanja wa mpira, hospital kubwa ili wasitumbuliweHuyu jamaa wanamwogopa sana.
Na hapa ndipo ninapopata shaka na uelewa wa Mwafrika.
Surely hata yale mataa ya kuongozea punda na ng'ombe Chato hajapendekeza yeye bali ni hofu tu ya viongozi walio chini yake.