Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Wekezeni into research sio kukimbilia maombi kila kitu.

Watoto wa msingi wamefunga shule, medical schools nao wamerudi nyumbani sijui wanasomea nini huko vyuoni.
 
Hi ni dalili ya kukata tamaa
Unafahamu maana ya kukata tamaa wewe?,Mtu aliyekata tamaa hawezi kusema tumuombe Mungu,ndio sababu tunasema kukata tamaa ni dhambi maana hupelekea kutomtumainia Mungu tena.Hivyo Mheshimiwa Rais ameonyesha kuwa tegemeo lake ni Mungu tu na huu msimamo wa kiimani alikuwa nao tangu mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?



Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio, kusali ni njia pekee itakayo weza kutuokoa. Acha kiburi cha uzima.
 
Huu ugonjwa umekuja Kama jaribio la kiimani nimeona Hadi wababe wa dunia wamesanda mikono juu hakuna cha kutumia wanajesh au drones au maagizo toka juu nimechek Hadi Trump na ubabe wake akiombea.Ndo wajue dunia inamwenyewe mwanadamu hawezi kuwa juu kuliko dunia.
 
Wa Burundi, Rwanda na Uganda marais wao wanatoka mafichoni na strategies, scientific ones to combat the scourge, yeye anatoka mafichoni na sala! johnthebaptist
 
Angesa tukatambike ningemwelewa Wataliano Wenyewe wamesusiwa na YESU Siku hizi Tatu nitafanya matambiko Yakutia sad aka ya Dani na NYAMA ILA SITAKUSANYA WATU
Kwa Imani yako kila mmoja asali Kama mizimu inakusaidia wwe omba
 
Navojua magonjwa ya Giza ndo huwa yanafanyiwa Maombi, lakini haya ambayo tayari yanajulikana namna ya kuyaepuka kama Lockdown... Hapa tunamtafuta Mungu lawama tu.... Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
Blaza kaka umepewa akili itumie, kwani umekatazwa kujifungia ndani? Jifungie ndani kuokoa uzima wako ni ruksa.
 
Kinyamnyaga,
Huyu jamaa wanamwogopa sana.

Na hapa ndipo ninapopata shaka na uelewa wa Mwafrika. Surely hata yale mataa ya kuongozea punda na ng'ombe Chato hajapendekeza yeye bali ni hofu tu ya viongozi walio chini yake.
 
Huyu jamaa wanamwogopa sana.
Na hapa ndipo ninapopata shaka na uelewa wa Mwafrika.
Surely hata yale mataa ya kuongozea punda na ng'ombe Chato hajapendekeza yeye bali ni hofu tu ya viongozi walio chini yake.
Ili kupata Kinga ya utumbuzi, kila Waziri alihadi kufanya kitu Chato wengine uwanja wa mpira, hospital kubwa ili wasitumbuliwe
 
Kasema tufunge tuombee taifa
Tunamuunga mkono Rais wetu tunafuga tunaomba Yesu Kristo anaweza
Wewe kama huamini maombi tulia na barakoa yako na sensitizer kwani Corona ikikudibua si sawa tu
Sisi walimu tupo tutafundisha watu wengine wafanye kazi yako
Over
 
Back
Top Bottom