Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Kwa hali ilivyo, nilidhani serikali ingekuja na mwongozo wa kujilinda na corona badala ya kuhamasisha watu kusali, ikiwa viongozi wa serikali wanapoingilia mamlaka ya dini kama wao wasivyotaka kuingiliwa kwenye siasa.

Rais ni kiongozi wa serikali na sio kiongozi wa imani wa dhehebu lolote nchini, kutoa siku tatu na kusababisha mikusanyiko naona ni kushindwa kwa majukumu yake kama serikali.

Kazi ya serikali haipo katika imani bali katika kuwalinda raia wake kwa vitendo. Kama serikali ilitakiwa ije na miongozo namna ya kuwalinda watu wake mfano uvaaji wa mask, gloves, usafi, mazuio ya safari, mikusanyiko na nk.

Nachodhani ingekuwa ni lazima kwa wakazi wa Dar kuvaa mask na kunawa mikono, kufunga wakazi wa mji huo kutosafiri nje ya mji huo, vyombo vya usafiri kupulizwa dawa, abiria kuvaa mask muda wote.
 
Hivi Mungu mlikaa naye mkamuuliza akawaambia kabisa kuwa kaleta korona ili mumrudie kwa kua mmemsahau? Haha mbona mnamjaza maneno mdomoni?

Endeleeni kuombe mtakufa ka sisimizi nyambaf, watu wanajaribu kujikinga sisi tunajifanya tunajua maombi 😂 wabongo mungu angekua anajibu maombi kweli Tanzania ingekua imefika mbali mno,

sijaona nchi wanaomba kama bongo na wanaijeria dunia nzima. Ila ndiyo nchi zinaongoza kwa vilaza
 
Ugonjwa wa mapepo. Jiwe anaamini Covid-19 ni pepo linapaswa kuombewa na sio kuchukua hatua za tahadhari😂😂😂

Unalala mlango wazi alafu unamuomba Mungu awazuie nyoka na wadufu wengine wakali wasiingie ndani kwako kukudhuru.

akili za walokole hizi😂😂😂😂😂😂😂
 
Saint Anne,
Tulizembea? usiweke uwingi mkuu watawala walizembea sio sisi, kila siku walikuwa wanaambiwa bungen kuhusu kuimarisha security na mipaka na watu wanaokuja bongo kupima au kuzuia ndege zisije kabisa ila kwakuwa wanakiburi na jeuri ndio vitu kama hivi vinatokea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zingatia maelekezo ya wataalam wa Afya tu inatosha ...maombi sidhani kama ni muhimu sana katika hili janga
 
mr mkiki,
tapatalk_1587178329568.jpeg


Jr[emoji769]
 
Saint Anne, Kwani wewe si kuhani?

Acha ujinga! Haya mambo eti tumjengee mchg ili sisi tubarikiwe ni utapeli na ujinga wa wakristo kwa njia ya mazabahu.

Ebu angalieni hali zenu hapo kanisani kwenu, toka muambiwe toa ili ubarikiwe kipi kimeongezeka ?

Acha kijiondoa ufahamu... mfumo wa dini ni wa kinyonyaji sana na kinawatia wafuasi kwenye utumwa na umasikini.

Fuatilia maisha ya mch wako ktk eneo la utoaji ! Je anatoa kuliko anavyotaka apewe?

Kama unaamini maombi yana leta majibu mbona yeye aiombei familia yake ili ajenge nyumba yake kwa fedha zake mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulizembea ? usiweke uwingi mkuu watawala walizembea sio sisi, kila siku walikuwa wanaambiwa bungen kuhusu kuimarisha security na mipaka na watu wanaokuja bongo kupima au kuzuia ndege zisije kabisa ila kwakuwa wanakiburi na jeuri ndio vitu kama hivi vinatokea


Sent from my iPhone using JamiiForums
Watawala ni wa wakilishi wenu mliowachagua kwa kura zenu wenyewe.
Uzembe wa wachache unatucost wote.

Ni kweli tulizembea na kwa hili tunapaswa kutubu
Kuendelea kuwalaumu si suhisho la tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
pureman2, Hapa mada ni maombi, Corona au mchungaji? Ujinga gani nimeongea hapo au umeamua tu kukurupuka kuniquote pasi na kusoma maelekezo yangu vizuri?

Rudi ukasome Tena points zangu urudi usome Biblia yako halafu uje kucomment Tena hapa.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga ndg

Chakula ghalani toka lini ikawa kujenga nyumba ya mchungaji au kumnunulia gari ?

Ukileta mafuta ya mawese unazani wanafurahia kama ukileta kibahasha ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimeongelea gari Mimi?
Nimekwambia rudi usome comments zangu vizuri,uende ukasome Biblia yako ndipo uje kunijibu.

Kwanza nadhani ungejikita kuchangia mada ingekuwa vema Zaidi kuliko kuhangaika na hii mada ya magari unayoileta.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom