Nabii Issa alifufua wafu,aliponya vipofu na wakomaMimi sio mzuri sana kwenye historia na biblia!!! Ni ugonjwa gani duniani umewahi kuondoshwa kwa maombi?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii Issa alifufua wafu,aliponya vipofu na wakomaMimi sio mzuri sana kwenye historia na biblia!!! Ni ugonjwa gani duniani umewahi kuondoshwa kwa maombi?.
Hakika
Mkuu siku hizi toka wakuzingue kanisani hata imani imeisha kabisaa!!! ???Mi mwenyewe imenishangaza eti mkemia mwanasayansi anakimbilia kwenye maombi ya imani za kizungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawala ni wa wakilishi wenu mliowachagua kwa kura zenu wenyewe.Tulizembea ? usiweke uwingi mkuu watawala walizembea sio sisi, kila siku walikuwa wanaambiwa bungen kuhusu kuimarisha security na mipaka na watu wanaokuja bongo kupima au kuzuia ndege zisije kabisa ila kwakuwa wanakiburi na jeuri ndio vitu kama hivi vinatokea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapi nimeongelea gari Mimi?Acha ujinga ndg
Chakula ghalani toka lini ikawa kujenga nyumba ya mchungaji au kumnunulia gari ?
Ukileta mafuta ya mawese unazani wanafurahia kama ukileta kibahasha ?
Sent using Jamii Forums mobile app