Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu hii nchi kuna mambo mengi yanafanywa kwa faida yao wenyewe, watu waliambiwa kabisa jaman janga linakuja tuliwai jitu linakazana hatufubgi mipaka tubachapa kazi, kama yeye mwamba arud dar sasa tuendelee kupambana na haka kakorona kadogo...hawa mkiwachekea kila siku watakuwa wanawaona misukule yaoWatawala ni wa wakilishi wenu mliowachagua kwa kura zenu wenyewe.
Uzembe wa wachache unatucost wote.
Ni kweli tulizembea na kwa hili tunapaswa kutubu
Kuendelea kuwalaumu si suhisho la tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu si muda wa lawamaNdugu yangu hii nchi kuna mambo mengi yanafanywa kwa faida yao wenyewe, watu waliambiwa kabisa jaman janga linakuja tuliwai jitu linakazana hatufubgi mipaka tubachapa kazi, kama yeye mwamba arud dar sasa tuendelee kupambana na haka kakorona kadogo...hawa mkiwachekea kila siku watakuwa wanawaona misukule yao
Kwahiyo Wewe umeyaamini Sana maneno ya Huyo mtu kuliko maneno ya Mungu?Lol kwa hiyo watanzania mnamjua Mungu kuliko hata waliowa-introduce kwa huyo Mungu? Tuna safari mrefu sana.
View attachment 1422328
Kwahiyo Wewe umeyaamini Sana maneno ya Huyo my kuliko maneno ya Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hachoki ndugu yangu! Yeye anapenda sana tumshirikishe kila jambo, ila ni kweli ni muhimu sana kuzingatia ushauri wa wataalamu kama ulivyo sema! Tumwombe Mungu atusaidie na awasaidie wataalamu wakati huu wa mpambano!Fuata kanuni za wataalamu wa afya including social distance,epuka mikusanyiko ya hovyo,ndo Mana tukapewa akili Sasa ukisema usali bila kuchukua hatua mwishowe utakuja kulaumu Mungu bure kumbe unakuwa hukutumia akili ndogo hata za kuvukia barabara.
N.B Mimi napenda kusali Sana Ila saa nyingine wakristo huwa tunatumia maandiko vibaya hata vitu vya kutumia akili ya kawaida tuna mchosha Mungu, mwishowe maombi hayajibiwi tunakuwa ka wale manabii wa baali. Tuchukue tahadhari corona is real
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hujawai kupata msaada wowote kwenye jambo lolote kwenye maombi Kwa sababu labda hujawai kuomba au huwa unaomba vibaya! Lakini Mungu Yupo ndugu yangu, siku ukitaka Msaada wake, utapata!Maombi hayajawahi kua na msaada wowote kwenye jambo lolote.
Mkuu, Kwa sababu gani mkuuMaombi hayajawahi kua na msaada wowote kwenye jambo lolote.
Sala hii ndipo tunaposamehe na kutubu!"Sala ya mnafiki ni kelele masikioni pa bwana"
Hamna haki hamna kuelewana
Hujui maana ya raisKwani umelazimishwa mkuu si uache?
Umeongea point sana ila haya majitu ni majitu yakujisahau tukikaa kimya next time haya mambo yatajirudia, naamini Mungu atatusaidia, tuzidishe maombi, ila hawa mbwa wanatucost sanaHuu si muda wa lawama
Ni muda wa kumlilia Mungu na kuchukua tahadhari zitolewazo na wataalam
Ugonjwa unaua wote,lawama haitatuondolea huu ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie taendelea na maombi ya kuwaombea viongozi wetu wawe na hekima tu, Mungu akinisikia basi naamini watatuongoza vema katika kutokomeza gonjwa hili!Sala hii ndipo tunaposamehe na kutubu!