Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
[emoji23] [emoji23] najuta kuitoa pesa ya school bus leo asubuhiHapo wazazi tuliokuwa tunadaiwa ada tu nasema afadhali tupumue Kaz kwa wamiliki washule walivyokuwa wanasubir tumalizie ada kabla ya mid term.
Kaz imebaki kwenye nyumba za kupanga Sasa naomba serikali itoe tamko hakuna kutoka wala kusafiri ili tupate sababu ya kuendelea kuishi mpaka tutakapopata pesa zao
Hela yenyewe ipo kwani ?Hapo sasa...ππππ€£π€£π€£
I guess ni jukumu la serikali kuwagaia wanafunzi bando free waendelee na masomo yao...LOL
Mkuu kama kufunga tu mipaka ni shida, au hata kutangaza hali ya hatari ni shida, watakujali wewe kwa lipi, kiukweli hatuko serious kabisa, basi tu Mungu hua anatuonea huruma na rehema anatupaOhooo kodi? Ina maana wanajitahidi kuvuta hadi wakusanye kodi zote bila kujali mstakabala wa walipa kodi wanvyoathirika au walivyoathirika na huu ugonjwa?
That can't be true.
itakuwa serikali ya namna gani hii?
Hela yenyewe ipo kwani ?
Miye nilikuwa sina ada ya kumpeleka mtoto shule ili tangazo ni kama neema kwangu...ndani ya siku 30 nitakuwa nishajipanga ahahahaHiyo ndio tahadhari kabla ya hatari. Na wanasiasa wamepata pa kukimbilia wakiulizwa mbona daraja la Kayegeya limeporomoka tena jibu litakuwa "Corona bhana"
Mimi nimeappriciate serikali ilivyochukua hii hatua... Coz ndo muda wake... Kuna hatua zinachuliwa baada ya case kutokea hasa maamuzi magumu kama haya....Hata michezo imesimamishwa baada ya nchi husika kuripoti kutokea kwa hili jambo... Tuache kuchukulia mambo kisiasa.Huyu mdudu anasambaa kwa haraka sana na tumeshuhudia anavyovamia nchi hadi nchi sasa tungojee mpaka aingie aanze kuleta madhara katika jamii?
Tuliposikia Kenya na Rwanda zimepata maambukizi tungetakiwa tuchukue tahadhari
Yap na advance pia wao huwa hawajitambui? Kwa hiyo ina maaana ukinchukua mtoto wako aliyemaliz form 4 akaamua aende chuo badala ya advance anakuwa tayari amejitambua? Anakuwa anajitambua kuliko yule wa advance? [emoji52]Nadhani labda kwa kuwa wanachuo wanajitambua ni rahisi kujikinga, tofauti na wa primary au secondary...
Iyo 1 Case imesababishaTake it easy lad! Huwezi kufunga mipaka ya nchi kwa case moja! Unless unataka kuliweka hili suala kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha, na likizo yao itaisha ikiwa siku 30 zimeshaisha kwhyo
mnataka kuchoma kulazimisha shule ifungwe... uongo?Natamani nimtafte sister angu
Anipe story za dogo [emoji23][emoji23]
Anyway mwanafunzi atabaki kuwa mwanafunzi
Hata ningekua mm ningefurahi
Enzi hzo iyunga tech tunataka kuchoma shule dah [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupaze sauti yetu zaidi watusikie, kuzuia mbio za Mwenge, kufunga shule halafu mipaka ipo wazi tu ni no brainer. Wanasubiri hadi ugonjwa uingie mtaani ndio tufunge mipaka?Ifungwe
Mambozile trillion 1.5 alizokwapua mkuu zingetosha kabisaaβ¦ π π π [emoji1787]
Usiniulize kwa nini hawafungi mipaka coz hata mimi napenda ifungwe.Na kwa nini hawajafunga mipaka, kwa lugha nyepesi hamna hatua za muhimu zinazochukuliwa kwa wakati, maana mpaka saivi mipaka ipa wazi na tunaweza kuingiza case mpya muda wowote.
Ahahaha,pole sana mkuuu
Nimesikia hapa mtu anasema usafiri wa mikoani kesho mwishoKichekesho pale bandarini wanakagua wasafiri kutoka Zanzibar lakini pale Ubungo mambo shagalabagala wakati kuna mabasi yanatoka nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA WA boarding wanaenda wapi?. Wakisafiri kutoka huko si watakuja kutusambazia kote nchini?. Wakae huko huko.
Mungu anakuona ujue .......Kwani ukimwi sio virusi vileYes! wanachuo wana natural immunity kwa haya magonjwa wao huwa hawaumwagi kabisa magonjwa ya virusi .
Sent using Jamii Forums mobile app