Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Hapo wazazi tuliokuwa tunadaiwa ada tu nasema afadhali tupumue Kaz kwa wamiliki washule walivyokuwa wanasubir tumalizie ada kabla ya mid term.

Kaz imebaki kwenye nyumba za kupanga Sasa naomba serikali itoe tamko hakuna kutoka wala kusafiri ili tupate sababu ya kuendelea kuishi mpaka tutakapopata pesa zao
[emoji23] [emoji23] najuta kuitoa pesa ya school bus leo asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohooo kodi? Ina maana wanajitahidi kuvuta hadi wakusanye kodi zote bila kujali mstakabala wa walipa kodi wanvyoathirika au walivyoathirika na huu ugonjwa?

That can't be true.

itakuwa serikali ya namna gani hii?
Mkuu kama kufunga tu mipaka ni shida, au hata kutangaza hali ya hatari ni shida, watakujali wewe kwa lipi, kiukweli hatuko serious kabisa, basi tu Mungu hua anatuonea huruma na rehema anatupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio tahadhari kabla ya hatari. Na wanasiasa wamepata pa kukimbilia wakiulizwa mbona daraja la Kayegeya limeporomoka tena jibu litakuwa "Corona bhana"
Miye nilikuwa sina ada ya kumpeleka mtoto shule ili tangazo ni kama neema kwangu...ndani ya siku 30 nitakuwa nishajipanga ahahaha
 
Huyu mdudu anasambaa kwa haraka sana na tumeshuhudia anavyovamia nchi hadi nchi sasa tungojee mpaka aingie aanze kuleta madhara katika jamii?

Tuliposikia Kenya na Rwanda zimepata maambukizi tungetakiwa tuchukue tahadhari
Mimi nimeappriciate serikali ilivyochukua hii hatua... Coz ndo muda wake... Kuna hatua zinachuliwa baada ya case kutokea hasa maamuzi magumu kama haya....Hata michezo imesimamishwa baada ya nchi husika kuripoti kutokea kwa hili jambo... Tuache kuchukulia mambo kisiasa.
 
Nadhani labda kwa kuwa wanachuo wanajitambua ni rahisi kujikinga, tofauti na wa primary au secondary...
Yap na advance pia wao huwa hawajitambui? Kwa hiyo ina maaana ukinchukua mtoto wako aliyemaliz form 4 akaamua aende chuo badala ya advance anakuwa tayari amejitambua? Anakuwa anajitambua kuliko yule wa advance? [emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Take it easy lad! Huwezi kufunga mipaka ya nchi kwa case moja! Unless unataka kuliweka hili suala kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo 1 Case imesababisha
1. Watoto kukosa Elimu tz nzima kwa kurudi nyumbani zaidi ya mil.1
2. Iyo case moja inaweza kuwa chanzo cha Corona

3. Athali za kiuchumi za ndani ni kubwa mno. Watu wataogopa kufanya kazi Kwa usahihi ( kwa zile kazi za kukaa karibu karibu) , Bodaboda na mama ntilie watapunguza wateja
4. Kuorodheshwa Kwa Corona tu katika orodha ya nchi zilizo na Corona inaathali kiuchumi kwa case iyo iyo moja.
5. Michezo yote imefutwa.
6. Kwa hali inavyoendelea hata nyumba za ibada na makazini kunaweza kukazuiwa pia.

Sasa kama utadharau kidogo kikubwa hutakieshimu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali walivyofunga izo shule za msingi,michango ya shule ya serikali mia 500 na kila alhamisi unatakiwa kutoa alfu moja na mia tano,nimefurahi sana naona kuna mwalimu mmoja iyo hela ya tuisheni alikuwa mkusanyaji hodari wa hela kama konda wa daladala huu mwezi mzima ngoja atumie mshahara wake nao uishe 😁😁😁😁😁
 
Na kwa nini hawajafunga mipaka, kwa lugha nyepesi hamna hatua za muhimu zinazochukuliwa kwa wakati, maana mpaka saivi mipaka ipa wazi na tunaweza kuingiza case mpya muda wowote.
Usiniulize kwa nini hawafungi mipaka coz hata mimi napenda ifungwe.
 
Back
Top Bottom