Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Watu wazima ndiyo waathirika wakubwa wa corona
Mpaka sasa hakuna mtoto wa chini ya miaka 10 aliyefariki
Hivi kuna Mtu mweusi hata mmoja ameshafariki mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangefunga mipaka na ndege kutotua toka kwenye nchi zilizoathirika tungekuwa bado tunasogeza siku!

Ona sasa majigambo yote yamekwisha, kila kitu kitasimama kwa sababu ya watu wawili (mawaziri) vichwa maji wasio jua kupima uelekeo wa upepo kwa tutumia rada!

Sijui waliwatoa wapi huyu mmama na mbaba wasio elewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa ukisambaa hakuna mtalii atakayekuja Tz, ni bora watalii wasije ila tuwe na uhakika tu wa kula ugali wetu kwa amani, Tz inajitosheleza kwa chakula, kwa nini tuwe na uoga wa kufunga mipaka? Hata Uganda wanatuzidi ujasiri kweli?
 
Wazuie wageni kuingia na Watanzania wanaukuja watenge eneo moja hata hotel wapeleke huko moja kwa moja mtu ukiwa mzima ndio atoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…