Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Yap na advance pia wao huwa hawajitambui? Kwa hiyo ina maaana ukinchukua mtoto wako aliyemaliz form 4 akaamua aende chuo badala ya advance anakuwa tayari amejitambua? Anakuwa anajitambua kuliko yule wa advance? [emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazima ndiyo waathirika wakubwa wa corona
Mpaka sasa hakuna mtoto wa chini ya miaka 10 aliyefariki
Hivi kuna Mtu mweusi hata mmoja ameshafariki mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangefunga mipaka na ndege kutotua toka kwenye nchi zilizoathirika tungekuwa bado tunasogeza siku!

Ona sasa majigambo yote yamekwisha, kila kitu kitasimama kwa sababu ya watu wawili (mawaziri) vichwa maji wasio jua kupima uelekeo wa upepo kwa tutumia rada!

Sijui waliwatoa wapi huyu mmama na mbaba wasio elewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa kwa nini serikali yetu haifungi mipaka hasa kwa wageni wa kizungu ni mapato. Serikali inategemea sana mapato ya utalii, sasa ikifunga mipaka na kutangaza watalii wasije itakosa pesa za kuendeshea serikali.

Hali ni mbaya ndani makusanyo hakuna sasa wazifunga mipaka watalii wasije watashindwa kuendesha serikali.

Hapa wataruka ruka kufunga mashule, vyuo ila sio mipaka. Wakifunga mikapa watasafocate na kufa njaa.
Ugonjwa ukisambaa hakuna mtalii atakayekuja Tz, ni bora watalii wasije ila tuwe na uhakika tu wa kula ugali wetu kwa amani, Tz inajitosheleza kwa chakula, kwa nini tuwe na uoga wa kufunga mipaka? Hata Uganda wanatuzidi ujasiri kweli?
 
Wazuie wageni kuingia na Watanzania wanaukuja watenge eneo moja hata hotel wapeleke huko moja kwa moja mtu ukiwa mzima ndio atoke
 
Back
Top Bottom