Online tutorials kibongo bongo bado! Ni kheri vyuo vifungwe tu
Kwani waziri mkuu wa shule za serikali tu?
Karantini nchi nyingi zinafanya... Ila hiyo hoja yako practically haipo.Sio kuiga nchi hili ni suala la kufikiri tu kwa mfano Uganda ilianzisha Karantini kwa raia wanaotoka nchi za Category 1 yaani China Italy na Iran karantini ya siku 14
Huo ulikuwa ni uamuzi wa Uganda bila kuiga nchi nyingine
Dah! Shida inakuja kama mzazi alikuwa hajajiandaa kifedha halafu mtoto anatakiwa arudi nyumbani...Tatizo ni shule za boarding ambazo sasa vijana maelfu wataanza kusafiri nchi nzima.
WALIMU WA VYUO UTAWAJUA TUNamsubiria apande juu kidogo.... afike kwenye vyuo vya elimu ya juu
Suala la mipaka ya nchi hii huwa linanipa kizunguzungu, maana kila siku wahamiaji haramu wanakamatwa wakiwa wameshafika Morogoro, Iringa au Mbeya. Huwa wanapitaje?...
Anza kujijali mwenyewe usisubiri serikali.1.Eti anasema watu wanashauriwa kuhairisha safari? Badala ya kusitisha safari.
2. Eti waendelee kupima watu airport instead ya kuzuia wageni kuingia.
Serikali yetu haijali wananchi wala haitutakii mema.
Sent using Jamii Forums mobile app